Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,978
- 5,417
Mazingira ya Dar changamoto kubwa kwenye hawa mifugo ni joto, joto husemekana kupunguza kiwango cha utoaji maziwa kwa ng'ombe iwapo umemtoa sehemu ya baridi....Mwaka juzi nilinunua Ng'ombe anayeaminika kuwa ni fresian kwa kuwa alikuwa na mabaka. Nikaambiwa ni mtamba mwenye mimba ya miezi3 na anatarajiwa kutoa maziwa kuanzia Lita 10 kwa Siku na kuendelea.
Baada ya kuchukua, baadae ilibainika hana mimba na ikabidi kumpandisha tena. Akashika mimba ila akawa na tatizo la kizazi, akatibiwa hivyo hivyo hadi akazaa. Hata hivyo anatoa maziwa chini ya Lita 4 kwa Siku pamoja na kupewa huduma za premier !
Ila ana umbo kumbwa na anavutia kweli
Mtaalamu ataelezea vizuri akikuja..

wanauza ng'ombe dume wa fleckvieh anauza $ 15,000 ambayo ni sawa na kama Tshs 35,000,000 za kitanzania. Wale ng'ombe ni dual purpose na wanaimili sana maisha ya baridi kali na Joto kali pia na ulaji wao sio mkubwa