Recent content by TUMY

  1. T

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA KISASA INAPANGISHWA JET-LUMO(Mwisho wa lami)

    Nyumba ya kisasa kabisa inapangishwa kwa bei nafuu kabisa, ina vyumba Vitatu vya kulala, dinning, sitting room, kitchen pamoja na uzio.Ipo JET-LUMO(Mwisho wa lami). Kwa anayehitaji apige simu namba 0714 94 60 10.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Utambulishoo huu noma sana

    du noumer sana!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msikie mbulula huyu

    ha ha h ah ah ah ah ah ah ah ah aha
  4. T

    JamiiForums Tanzania "Tengua kauli".... "Sitengui"

    ha ha ha ha h ah ah ah ah ah ah ah ha ha ha ha ha ha
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kupona usiifunike

    mh makubwa:shock:
  6. T

    JamiiForums Tanzania Part Time Job for a Certificate holder in Insurance & Risk Management or Certificate of Proficiency

    Ladies and Gentlemen. Kama kuna yeyote ambaye ana Cheti kwa ngazi ya Certificate katika fani tajwa hapo juu tafadhali tuwasiliane kuna kazi ila itakuwa Part time na ni kwa Dar es salaam tu. Umri uwe kati ya Miaka 18 - 30. Kuhusu masuala ya Malipo ni makubaliano tutazungumza ana kwa ana in a win...
  7. T

    JamiiForums Tanzania 'MESEJI' ya HUJUMA...

    Mbona hueleweki ama ndio huko kupanic.Hebu soma ulichokiandika kama utakielewa
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mikataba ya Cheka na Promoter ni full comedy.

    Bongo tambarare
  9. T

    JamiiForums Tanzania Camera iliyoyotumika kwenye movie ya APOCALYPTO

    Hoja yako haina mashiko.wewe kwa akili ya kawaida kabisa ya kuvukia bara bara unaweza kumfananisha Mel Gibson na wasanii wa bongo,Acha masihara.Unakuna pale mkono unapofika na ukimwiga tembo utapasuka msamba.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Who cares

    Mtaka cha uvunguni sharti ainame.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Who cares

    Mbona hakuna tatizo ndoa ni kusaidiana bwana.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Udhalilishwaji wa waislam na vyombo vya dola

    Jamani kila siku kulalamika tu, hakua mambo mengine.
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba mtumieni victor costa kama kiungo

    Kaka timu haipangwi ili kujaza nafasi 11 zinazotakiwa ila lazima comination sahihi itafutwe hivi kweli unaweza mpango Beki Victor Costa kama kiungo, wachezaji huwa wanabadili namba ila huwezi mpanga costa kama kiungo HAIWEZEKANI na kama wewe unajua mpira kweli unaweza kuliona hilo.Ungesema namba...
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania hivi inawezekana ama ni kwangu tu?

    Ndugu yangu Manshiroo. inawezekana usemi wako kwamba asiye kujua hakuthamini ukawa ni sahihi in some circumstances ila kwa ishu yako naendelea kusimama kwenye kile nilichokisema kwa kuwa umeonyesha udhaifu wa kupitiliza na kwa maneno mengine wewe pia si mwaminifu, sina lengo la kumtetea mumeo...
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume waliowahi kuface hii challenge tu!!

    Nitamchukulia POA.
Back
Top Bottom