'MESEJI' ya HUJUMA...

VUTA-NKUVUTE huo ndio mfumo wa serikali ya wahuni ya ccm. Tayari wana matokeo ya maoni mkononi, wanachokifanya ni kuwapumbaza watanzania tu
 
Last edited by a moderator:
Lies, lies @ best..... uko ka Pinda.... muongo wee
huoni aibu, shame....

Siwezi kuamini.Kweli Tume iliyosheheni Wasomi wa Sheria wabobezi inaweza kucheza mchezo mchafu kama huu?! Ni hivi,leo asubuhi nimepokea ujumbe kwenye simu yangu ya mkononi. Ujumbe ( ingawa siwezi kuukumbuka neno hadi neno kwakuwa niliufuta haraka kwa woga mkuu) unanifahamisha kuwa nijiandae kwenda Mafia kutetea msimamo wa Tume juu ya Maoni ya Katiba. Sehemu ya Ujumbe huo unasema ifuatavyo : 'tuna taarifa kuwa wewe ni mzaliwa wa Mkoa wa Pwani'.

Ujumbe ukaendelea:'Wilaya yako ya Kibaha haipo kwenye orodha ya Wilaya za mwanzo kukusanyiwa maoni yako ya Katiba. Kwa kuzingatia umuhimu na weredi wako wa kisheria,tunakualika uambatane nasi kwenda Mafia kwa ajili ya kushiriki kwenye Ukusanyaji wa Maoni ya Katiba Mpya. Utafanya hivyo tena Wilayani Kibaha. Tutakuwa na Kikao cha uelekezi tarehe....' Nilipofika hapo nikaufuta na kuanza kulia. Nikachanganyikiwa hadi kusahau kuitunza nambari ya aliyenitumia ujumbe.Wakinikumbusha,nitaiweka nambari hapa jamvini. Nisameheni kwa 'kupanic' kwangu...

Nashindwa kuamini na kuendelea kuandika habari hii. Kwakweli nimelia sana asubuhi ya leo. Kumbe watoa maoni wa Katiba Mpya ni Mamluki? Maoni yenyewe kumbe sio huru na ya haki.Hapa tulikofikia,inahitajika v... au? Sina imani na chochote juu ya lolote la Serikali na Tume.Kamwe...
 
wakuu inawezekana hii habari ikawa sahihi.. lakini tunaweza kumbeza huyu ndugu kwa sababu amejichanganya kimaelezo... namimi leo jioni mida ya 11 jioni hivi wakati nafunga vitu vyangu nichomoke ofisini.. nilimsikia mfanya kazi mwenzangu akilalamika juu ya kupokea meseji kama hiyo... alisema a=hivi hawa tume ya kukusanya maoni ya katiba ni vichaa eheee nani kawapa no yangu mpaka wanitumie meseji zao za kis..nzi hizi.... so its possible mleta uzi yuko sahii... wakati huyo mfanya kazi mwenzangu akimaind hayo nami sikuwa makini sana kutaka kuiona lakini nilimsikia akilalama juu ya hiyo text... Msishangae hayo kwani mmesahau wakati tunaelekea uchaguzi 2010 ni text zipi zilikuwa zikija mojakwa moja kuw kashifu viongozi wa upinzani na kumsifia jk.... bongo kila kitu kinawezekana tu.... hata hiyo katiba itachakachuliwa tu
 
Muonekano wa taarifa yako ni wa kutunga lkn pamoja na hilo bado ukakurupuka; hii inaonyesha kuwa kumbe wewe ndio uelewa wako ni mdogo na si walokutumia hiyo msg ya kuitengeneza, lkn pamoja na hilo umesema ulialikwa kwenda "KUSHIRIKI UKUSANYAJI WA MAONI YA KATIBA MPYA"; sasa hapo umamluki wako uko wapi?, hujaambiwa ukashiriki kutoa maoni bali ukashiriki kukusanya maoni.
Kajipange vizuri jombaa, hii ni JF sio FB!!
 
Mbona hueleweki ama ndio huko kupanic.Hebu soma ulichokiandika kama utakielewa
 
HUO UWELEDI WAKO NI WA KUTUNUKIWA AU...??
WATU WENGINE BANA, KUMBE ILE POMBE YA M**I bado inanyweka???

Siwezi kuamini.Kweli Tume iliyosheheni Wasomi wa Sheria wabobezi inaweza kucheza mchezo mchafu kama huu?! Ni hivi,leo asubuhi nimepokea ujumbe kwenye simu yangu ya mkononi. Ujumbe ( ingawa siwezi kuukumbuka neno hadi neno kwakuwa niliufuta haraka kwa woga mkuu) unanifahamisha kuwa nijiandae kwenda Mafia kutetea msimamo wa Tume juu ya Maoni ya Katiba. Sehemu ya Ujumbe huo unasema ifuatavyo : 'tuna taarifa kuwa wewe ni mzaliwa wa Mkoa wa Pwani'.

Ujumbe ukaendelea:'Wilaya yako ya Kibaha haipo kwenye orodha ya Wilaya za mwanzo kukusanyiwa maoni yako ya Katiba. Kwa kuzingatia umuhimu na weredi wako wa kisheria,tunakualika uambatane nasi kwenda Mafia kwa ajili ya kushiriki kwenye Ukusanyaji wa Maoni ya Katiba Mpya. Utafanya hivyo tena Wilayani Kibaha. Tutakuwa na Kikao cha uelekezi tarehe....' Nilipofika hapo nikaufuta na kuanza kulia. Nikachanganyikiwa hadi kusahau kuitunza nambari ya aliyenitumia ujumbe.Wakinikumbusha,nitaiweka nambari hapa jamvini. Nisameheni kwa 'kupanic' kwangu...

Nashindwa kuamini na kuendelea kuandika habari hii. Kwakweli nimelia sana asubuhi ya leo. Kumbe watoa maoni wa Katiba Mpya ni Mamluki? Maoni yenyewe kumbe sio huru na ya haki.Hapa tulikofikia,inahitajika v... au? Sina imani na chochote juu ya lolote la Serikali na Tume.Kamwe...
 
Utaendelea na msimamo wako nikija na ushahidi Mkuu?

Njoo nao ili niamini. Nani kakwamnbia kuwa dunia ya sasa ni ya kukubali kila kitu bila ushahidi. Huo ulimwengu wa Kinjekitile Bokelo Ngwale na vita ya majimaji; na Chiefu Mangungo wa Msovero- Usagara; Carl Peters na mikataba ya ulaghai ulishapita !!!!
 
Unafuta ushahidi kisha unaanza kulia? Wewe ni binti muoga, hufai kuwepo JF
 
Mleta thread si magamba kama wengine mnavyodai. Mgetulia kidogo mngemuelewa tu.
Ila hapo kwenye kulia na kufuta sms ndo pana tatiza. Labda woga umekuingia kuwa TISS wanakusoma nyendo zako na comments zako humu jamvini. Hapo kidogo ningekuelewa.
Ila ujue una marafiki, ndugu na jamaa ambao wanaweza kabisa kutoa namba zako. Vile vile umesema ww ni mwanasheria na mzaliwa wa pwani, inawezekana wana pwani wenzako wanataka ukawasaidie mawazo ktk kuchangia upatikanaji wa Katiba mpya. Si unajua wenzako wanacheza bao na kunywa kahawa kuanzia asubuhi!
 
hii ilitaka kufanana na kaugonjwa fulani kanaitwa "schizophrenia"

SCHIZOPHRENIA = "Mental disorder in which a person becomes unable to act or think in a rational way, often with delusions and withdrawal from social relationships" - The Oxford Study Dictionary, Oxford University Press 1991.
Nashukuru mkuu Sembuli, jana nilikutana na hili neno nikapuuza. Imenibidi nidese kidogo leo nijue maana yake.
 
Back
Top Bottom