sasa iko wapi hiyo siri iliyotobolewa na kamati ya Nchimbi? hakuna jipya hapo mambo ni yaleyale yaliyotawala kwenye vyombo vya habari toka mwezi 2 sep 2012.
Mkuu, CCM inaweza kufanya hivyo, lakini mtalazimika kuwaleta watu wenu kwa malori, pili mtawalipa posho, tatu mtawalazimisha kuzomea, yaani hawatazomea kwa moyo mmoja km ambavyo wanachama na wapenzi wa CDM wanavyofanya..
Jimbo gani? Njombe Kusini kwa Makinda? Njombe Magharibi kwa naibu waziri wa maji Gerson Lwenge? Au Njombe kaskazini kwa Deo Sanga a.k.a jah people?. Anyway kwa upande wa njombe kwa ujumla wake tunamtegemea mzee wetu Thomas Nyimbo. Hadi sasa amekwishafanya mambo makubwa hasa katika jimbo la...
Naunga mkono hoja, Zitto asingekuwa kigeugeu ningempa nafasi ya pili kutoka chadema kwa kigezo cha ushawishi na kuwaonyesha njia anaowaongoza, wapi pa kwenda.
Ni kweli title zimeingiliana na kila nikijaribu kuedit haitaki kubadilika. Title halisi ni "jk ateua wakuu wa wilaya wapya". Labda mods wanisaidie mimi nimeshindwa.
Kuna tetesi kuwa jk ameteua wakuu wa wilaya wapya. Mmoja wa wateuliwa hao ambaye vilevile ni m/kiti wa UVCCM katika mkoa mmoja wapo wa nyanda za juu kusini, inasemekana ameanza kujigamba na kutishia watu kwa kupata cheo hicho kipya.
Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa mzee mmoja anbaye ni rafiki...
Ule usemi kuwa "Coaches are hired to be fired" umetimia kwa kocha wa Chelsea Andres Villas Boas a.k.a AVB's baada ya kibarua chake kuota nyasi.
Upo uwezekano mkubwa nafasi yake ikachukuliwa na kocha wa zamani wa Liverpool Rafael Benitez..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.