Wakuu wa wilaya waliotemwa...

Kila uteuzi wa JK lazi ma uwe na matege. Kwa kumbakiza Col. Issa Njiku katika Wilaya ya Missenyi ni sawa na kuwatukana watu wa Missenyi kwa madudu aliyokuwa akiyafanya Mkuu huyo wa Wilaya. Amekuwa mkandamizaji wa haki za wanyonge huko kata ya Kakunyu ambako wananchi walichomewa nyumba zao kupisha mwekezaji. Kazi hii aliifanya yeye mwenyewe kwa kutumia mgambo wake. Amekuwa kinara wa kufanya biashara ya magendo kupitisha mchele na sukari kwenda uganda kwa kula deal na polisi. Aidha, amedumaza biashara huria ya sukari toka kiwanda cha kagera sugar kwa kumteua muuzaji mmoja tu wa sukari Missenyi ambapo kila mfanyabiashara aliyetaka kupata mifuko 2-5 ya sukari lazima anunue na katoni za sabuni, mchele n.k. ndipo ahudumiwe. Huyu alistahili hata kushitakiwa si tu kuachishwa ukuu wa Wilaya. Kila mwananchi Missenyi analijua hili, na wameumia kwa kumbakiza kwao.
 
Si jambo la busara kufurahia masahibu yaliyompata binadamu mwanziyo kuna siku yatakufika na wewe jambo lamsingi nikuombeana heri,pili hizi nikazi za watu kuna wakati ukifika ni lazima utawapisha wengine,tatu kuna suala la kufikia umri wa kustaafu sasa cha ajabu ni nini? au mtu mzima unashangilia matukio ya kawaida yote haya ni kukosa busara,cha msingi ni kuwatakia kila la kheri kwa maisha mapya Mungu Ibariki Tanzania.
Bahati Akili -Ilala dsm.
 
Pole nadhan ww utakuwa ni mtoto wa mmoja wa Dc alitemwa ndo hivyo maisha yanabadilika masikini weee kama ulikuwa unategemea vya baba kula kulala msosi wa draft.....
Si jambo la busara kufurahia masahibu yaliyompata binadamu mwanziyo kuna siku yatakufika na wewe jambo lamsingi nikuombeana heri,pili hizi nikazi za watu kuna wakati ukifika ni lazima utawapisha wengine,tatu kuna suala la kufikia umri wa kustaafu sasa cha ajabu ni nini? au mtu mzima unashangilia matukio ya kawaida yote haya ni kukosa busara,cha msingi ni kuwatakia kila la kheri kwa maisha mapya Mungu Ibariki Tanzania.
Bahati Akili -Ilala dsm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom