Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA Tunduma

Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA Tunduma

Chadema ina kundi kubwa la vijana wasio wastaarabu na wengi ni wavuta bangi na madawa ya kulevya na sasa wanangoja chadema iingie madarakani ili wapewe ajira na kuruhusiwa kuvamia migidi na kuiba madini......ole wenu chadema mje mshindwe kuwapa hawa wahuni matarajio yao mkiingia madarakani

kweli we fisadi mtoto...wavuta bangi ndiyo sisi,siku zenu zinahesabika.
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit

martin luther King amewahi kusema "riot is the voice of the unheard"
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit

Meza wembe!!!!
 
Tena ningekuwepo huko ningemfuata mpaka kanisani, namsubiri akitoka tu ninae...... kwi kwi kwi kwi!!!!!!!
 
Chadema ina kundi kubwa la vijana wasio wastaarabu na wengi ni wavuta bangi na madawa ya kulevya na sasa wanangoja chadema iingie madarakani ili wapewe ajira na kuruhusiwa kuvamia migidi na kuiba madini......ole wenu chadema mje mshindwe kuwapa hawa wahuni matarajio yao mkiingia madarakani

Gmba gamba gamba gamba gamba gamba gamba,,,,,,,,,,,,, Lusinde kazini, na bado mtasema mengi.
 
Lakini kumbukeni Lowassa ni waziri mkuu mstaafu wa Tanzania!
 
Chadema ina kundi kubwa la vijana wasio wastaarabu na wengi ni wavuta bangi na madawa ya kulevya na sasa wanangoja chadema iingie madarakani ili wapewe ajira na kuruhusiwa kuvamia migidi na kuiba madini......ole wenu chadema mje mshindwe kuwapa hawa wahuni matarajio yao mkiingia madarakani

We unayetoa pumba hapa inaonyesha u-msahaulifu " Gaddafi na Seif -al islam walidharau vijana walioanzisha mageuzi pale Benghazi kwa kuwaita panya, mende na kwamba walikuwa wabuya unga. Lakini siku zilivyozidi kwenda Rais mzima mwenye polisi na jeshi akawa anawakimbia hawa wabuya unga kutoka mji mmoja hadi mwingine na mwishowe wakamfunza adabu na kumwuua. Siku Gaddafi alipouawa wale vijana walitamka maneno haya" alituita panya na mende lakini yeye ndo panya mkubwa anayejificha kwenye Calvati then wakamuua.

CCM msipoacha madharau route yenu inaweze kuwa mbaya hata kuliko ya Gadaffi waswahili husema" mdharau mwiba mguu huota tende"
 
Jamani, mtampamba mpaka lini????????????????????????????????????
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit

Sasa kwani wezi wote si wapo ccm,ndio maana wanazomea!wao watamzomea nani?
 
Lutommu Wengi humu ni malimbukeni hawajawahi kutembelea nchi zilizowahi kupatwa na machafuko, hivi unasoma story ya uvunjaji wa sheria wewe unasuport eti kwa vile aliyefanya hivyo ni chadema, fanyeni kazi acheni ushamba.
 
Mji wa Tunduma jana ulichafuka baada ya Waziri mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa kulakiwa na umati mkubwa wa wafuasi wa CDM waliokuwa wamejipanga kando kando ya barabara.Wananchi hao walikuwa wakipiga miluzi kwa sauti kubwa na kuonyesha alama ya vidole viwili juu ishara ya chama hicho.
Lowassa alikuwa akienda kwenye harambee ya ya kanisa la EAGT ambapo alichangia sh milioni kumi.
Kutokana na sintofahamu hiyo kulikuwa na ulinzi mkubwa wa polisi ambapo Lowassa alikuwa na msafara mkubwa wa viongozi wa serikali na chama cha mapinduzi.Kutokana na hali hiyo Lowassa alichelewa kufika kwa wakati kwenye harambee,kwani aliwasili saa 8 mchana badala ya saa 5 asubuhi.
Akizungumza kwa kifupi na waandishi Lowassa alisema alipata majaribu makubwa safarini lakini Mungu alimfikisha salama.Alidai alisaidiwa sana na mkurugenzi mstaafu wa usalama wa Taifa Apson Mwang'onda.

SOURCE:NIPASHE JUMAPILI.

Nimejaribu kuitafuta hiyo nguvu ya Chadema sijaona kitu zaidi ya watu kukaa kando kando ya barabara nakuonyesha alama ya vidole.
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit

hahahahahahaaaaaaa,we mbuzi kweli.Hao ccm watakaojipanga barabarani wako wapi tena tanzania hii??????labda ukajipange wewe na ..........yako,nyambafu kabisa
 
Huu ni ushamba siasa gani za kuzomea watu? Hivi wana ccm wakiamua kujipanga barabarani na kuzomea unazan hawawezi? Alafu mijtu eti yanaona bonge la credit

Mkuu, CCM inaweza kufanya hivyo, lakini mtalazimika kuwaleta watu wenu kwa malori, pili mtawalipa posho, tatu mtawalazimisha kuzomea, yaani hawatazomea kwa moyo mmoja km ambavyo wanachama na wapenzi wa CDM wanavyofanya..
 
Lakini kumbukeni Lowassa ni waziri mkuu mstaafu wa Tanzania!

Amezomewa rais na makam wake pamoja na waziri wa mambo ya ndani itakua lowassa ambaye hata ccm wenyewe wanamkataa!
 
Back
Top Bottom