Ripoti ya Mauaji ya Mwangosi yatoboa siri

hata mimi nimeitafuta hiyo siri nzito bila mafanikio!

hata mie pia sijaona chochote, halafu ripoti imekabidhiwa kwa nchimbi aipitie, halafu siku ya siku kamati itoe tena ripoti hiyo hiyo kwa waandishi wa habari, duuu..!! Hapo ndio nimechoka kabisa, watanzania sasa tunachezewa vibaya!
 
Hivi Mwandishi angeandika tu Nchimbi akabidhiwa report, kusomwa mbele ya waandishi wa Habari baada ya kuisome yeye kwanza Jumanne.
Je mwandishi angepungukiwa na nini? au ndio yale yale barua ya mtendaji kwenda kwa Diwani nayo inagongwa muhuri wa SIRI.
 
Mungu yupo kama waleane na kupeana vyeo siku zao zinahesabika hiyo kamati ni fake haina jipya kikubwa nikujipanga kwa kila hali ili tu 2015 maana hata katiba naona ni uhuni tu hakuna jipya
 
sasa hiyo siri iliyotobolewa na kamati iko wapi? hakuna jipya hapo mambo ni yaleyale yaliyotawala kwenye vyombo vya habari toka mwezi 2 sep 2012.
 
Aahahah ahahahhahhhh aahahahah hadithi hadithi za sungura na fisi
siri haipo hapo nimesoma mara tatu naona hadithi tu
 
sasa iko wapi hiyo siri iliyotobolewa na kamati ya Nchimbi? hakuna jipya hapo mambo ni yaleyale yaliyotawala kwenye vyombo vya habari toka mwezi 2 sep 2012.
 
Mbona kichwa cha habari na habari yenyewe havina uhusiano?
Mtoa mada kama ni mwandishi umeshindwa kukidhi viwango vya habari yenyewe.

Ni vema ungeandika: Ripoti ya mauaji ya Mwangosi KUTOBOA (na siyo yatoboa) siri.
Ulivyoandika yatoboa ina maana unahabari inyoi-quote ripoti hiyo, na kwenye mada hii habari hiyo haionekani.
 
Mbona kichwa cha habari na habari yenyewe havina uhusiano?
Mtoa mada kama ni mwandishi umeshindwa kukidhi viwango vya habari yenyewe.

Ni vema ungeandika: Ripoti ya mauaji ya Mwangosi KUTOBOA (na siyo yatoboa) siri.
Ulivyoandika yatoboa ina maana unahabari inyoi-quote ripoti hiyo, na kwenye mada hii habari hiyo haionekani.

hii habari inamapungufu kiuhariri,ndivyo ilivyo andikwa kwenye hilo gazeti..by the way they ar e always bussines based
 
hivi jamani tz tumelogwa na kitu gani? Uhuru wa hii kamati uko wapi? Nchimbi ni mtuhumiwa,haphapo anakabidhiwa ripot aipitie,kwa hakika huu ni usanii! Tunawaomba wanahabari watafakari na wachukue hatua ili kumtendea haki Mwangos.
 
Source: gazeti linalotoa habari za ukweli na uhakika TANZANIA DAIMA.
 
Yaani nchimbi anayestahili kujiuzulu na kushitakiwa mahakamani na The Hague anakabidhibiwa report aangalie inapendekeza nini juu yake yeye na majambazi wenzake akina kamuhanda,mwema na Chagonja kisha waamue watakavyo then waendelee kuwa na uhalali wa kuiongoza hii nchi?

Nchi hii Imeoza
 
ni kupoteza2 pesa, kamat ya nn wakat kila k2 kpo waz, na wahusika wote wapo akiwemo RPC
 
Hakuna cha maana zaidi ya kuitakasa serikali ya CCM. Kamati imefanya ilichoagizwa kuokoa jahazi la CCM linalozama.
 
Kuwa mkweli yataka moyo sana. Kamati nyingi sana zimekuwa zikiundwa baada ya matukio mbalimbali kutokea lakini matokeo na mapendekezo ya kamati hizo huwa ni kitendawili! Matokeo na mapendekezo ya kamati hizi yawe yanawekwa hadharani, kwani pesa zitumikazo zinatokana na kodi ya wananchi. Nchimbi onyesha mfano, kwani cheo ni dhamani.
 
But nilifikiri swala likiwa mahakamani huwezi kulizungumzia huku nje hadi hukumu itakapotolewa
 
Huyo Nchimbi alitakiwa asiwepo ofisini wakati hiyo kakamti inafanya uchunguzi,Nchibi na Serikali yake woooote ni wezi wa pesa za kodi zetu,kama yeye ni muadilifu alipaswa awe ameshajiuzulu zamani sana!
 
Back
Top Bottom