Unapo sema wamekatazwa sijaelewa bado inamaana kuwa wamebaguliwa au amejitenga halafu unapo sema habari za mtutu wa bunduki unatutisha mambo hayo hatujazoea kama rahisi na nyie muibe tu msitutishie na machafuko hatujazoea.
Tunajuwa vibaraka wa waarabu bado wapo hatuoni ajabu hatakama wao ni wazuri kitaeleweka tu. Halafu mambo ya siasa na mpira hakuna chama kilicho katazwa kusapoti timu kwamba hawa tawala hawa wapinzani kila mtuanajuwa hilo.
Hawa wakulialia bado wanatesa na 5g maana kila kukicha wakiona jezi ya njano au kgjani wanajificha, wakisikha sauti ya Ally kamwe wanazima radio, wakiingia mtandaoni yupo manara yaani mpaka wasemeee. Yanga ya 5g noma tunanenepa wao wanakonda.
Hapa sijawapata bado osca mchungaji huyu wa kweli au wale wa kutafuta kiki. Hebu tazama mpaka huku muwe na aibu kidogo au ndiyo ninyi mlio mkataa YESUkwa kudai hamumjuwi kuyu ni nani. Kweli makanisa mengine yamezidi michango mpaka waumini wanakimbia, leo mchungaji anataka kutetewa bora hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.