Recent content by Tumaini edson

  1. Tumaini edson

    Majambazi waua Polisi wawili kituoni

    Uzembe wa Jeshi la Polisi. Hii haina ubishi
  2. Tumaini edson

    Rombo kama Loliondo!

    Sio siku za mwisho ndugu, isipokuwa lazma tukubali sisi Watanzania bado tumetekwa na wale Adui wa3 alowataja JK wa ukweli, tunapenda sana shortcut. Ndiyo maana hatufanikiwi kbs ktk mambo yetu mengi ya maana.
  3. Tumaini edson

    Hofu ya CCM ni kwa CHADEMA kuwa na pesa?

    Kulalamika ovyo ni dalili za kushindwa, huna jinsi unaishia kulalama. Hta katka soka ukimwona mchezaji mlalamishi mno, jua kiwango kinaelekea mwisho kama c kuisha kbs. Mfano wote twamkumbuka Jimmy flloyd Hesellbaink aliyekuwa Chelsea, Diouf na sasa Gattuso. Ccm kwisha baba, usiumize kichwa...
  4. Tumaini edson

    Ulikuwa unajua hili? Naomba mnisamehe kwani sikudhamiria......!

    Sasa hv mambo hadhalani tu, Wakati Waislam wakikazana kulalamika wenzao wakristo wanaendelea kuchapa mwendo kwa spid ya AJABU. Lakini pia ktk awamu zote za uongozi Maraisi wakristo wanaonekana kutulia na wanapoiba wanapuliza huwezi kulinganisha na hawa WAUZA KAHAWA, hakuna kuficha k2 Bajaj...
  5. Tumaini edson

    Sabodo aichangia CHADEMA milioni mia moja

    Wewe unayesema kuwa CDM wanapewa pesa ili wavuluge Amani ya Nchi hii, inabidi utufafanulie kama m2 mzima mwenye akili zake timamu, tukuelewe, kwani vinginevyo tutaishia kufikiria kuwa ulikurupuka na zaidi wewe na wenzako ni VIBARAKA kama wale wa Sauzi enzi Zileeeee.
  6. Tumaini edson

    otea nani alesema hivi?

    Teh teh teh kajamaa bana eti 'Nimedhalilishwa sana, nimeonewa sana, ....' Puuumbavuuu.
  7. Tumaini edson

    Tumsaidieni Hasheem Thabeet

    Huyo sina hata mda nae, Wanajamii naomba niwaulize "kama tunahangaika hv na huyu m2 m1, vp huko Senegal ambako masupa staa wao kama Diof, Diop, Fadiga, Kamala, Diao nk nadhani hawalali wakiwaza jinsi ya kuwarudisha HEWANI hawa?" Thabeet kiwango kimeisha na wakati ni ukuta huwezi kupigana nao.
  8. Tumaini edson

    Mwl. Nyerere alisema kama mnampenda Kikwete kanyweni naye chai - Sasa tunayaona!!

    Alimaanisha ana akili ya kitoto hana uwezo wa kuwaangoza watu.
  9. Tumaini edson

    Nchi ya mazuzu, serikali ya kizuzu.....

    Cio mazuzu tu, Mwl Nyerere aliwahi kusema hivi 'Taifa la wendawazimu, likiongozwa na wendawazimu lkn pia likiongozwa ki uwendawazimu', hata mtoto mdogo analiona hili.
  10. Tumaini edson

    Tanzania yapaa juu!!!!!

    Lakini pia ndiyo nchi pekee Duniani ambayo kila kukicha inazidi kudidimia, naifananisha na mmea ambao kila kukicha unazidi kudumaa, hauonyeshi matumaini ya kuzaa Matunda.
  11. Tumaini edson

    Gongolamboto: Fidia sh milioni 8.6 kwa aliyekufa!

    Halafu hii 'FIDIA' hata Rais wetu Mcheshekeshaji amekuwa akilikazania! Kumbe ni kitu cha kiungwana na cha kujidai unapoua ukakazana 'lazma tuwalipe fidia' hii ni Aibu, aibu kubwa sana, na napima uwezo wa akili aliokuwa nao 'Rahisi' wetu. Hata ungetoa fidia m100, bado hailingani na uhai wa mtu...
  12. Tumaini edson

    Tatizo ni Watanzani Kudanganywa muda mrefu na si Chadema

    Yeah, Hakuna marefu yasiyo Ncha. Kama waliondoka Wakoloni, waliokuwa na nguvu na uwezo wa kila aina, itakuwa CCM!
  13. Tumaini edson

    Amani: Maandamano ya CHADEMA, maumivu makali kwa CCM na makuwadi wake

    Lazma wachimbe mkwara baana, we vp, hata kwe mechi lazma umchemshe mpinzani wako, japo kwa maneno, Mtu mzima hatishiwi Nyau, CHADEMA kanyaga twende.
  14. Tumaini edson

    Maandamano: Maswa hapatoshi umati mkubwa sana

    Tunawasubiri Tabora, CCM walianza sisi tunamaliza, mwenye macho haambiwi Ona.
  15. Tumaini edson

    Picha-maandamano chadema kahama ni nooooomaaaa

    Go go go go go go go go go go go go go go go go go go CHADEMAAAAAAAA
Back
Top Bottom