Picha-maandamano chadema kahama ni nooooomaaaa

kagosha

Member
Aug 3, 2010
99
29
Nimeshuhudia mwenyewe kwa macho yangu, mji wa kahama ulisimama huwezi amini
 

Attachments

  • DSCN1091.JPG
    DSCN1091.JPG
    30.5 KB · Views: 530
  • DSCN1092.JPG
    DSCN1092.JPG
    28.5 KB · Views: 309
  • DSCN1074.JPG
    DSCN1074.JPG
    21.4 KB · Views: 313
  • DSCN1075.JPG
    DSCN1075.JPG
    20.3 KB · Views: 265
  • DSCN1076.JPG
    DSCN1076.JPG
    23.6 KB · Views: 314
  • DSCN1089.JPG
    DSCN1089.JPG
    26.6 KB · Views: 238
  • DSCN1099.JPG
    DSCN1099.JPG
    21.6 KB · Views: 240
  • DSCN1094.JPG
    DSCN1094.JPG
    31.2 KB · Views: 250
  • DSCN1093.JPG
    DSCN1093.JPG
    33.3 KB · Views: 253
  • DSCN1081.JPG
    DSCN1081.JPG
    25.7 KB · Views: 262
Asante sana mkuuu,

huyo mtu pembeni ya Mbowe anafanana sana na Emmanueli Mchimbi
 
baadhi ya picha nimeona njia za vumbi, je maandamano yalipita barabara kubwa za lami au uswaz
 
baadhi ya picha nimeona njia za vumbi, je maandamano yalipita barabara kubwa za lami au uswaz

hakuna lami ila viwanja vya ndege vipo vya kuhamisha dhahabu toka kahama kwenda kwa waliopewa dhamana ya kuhamisha utajiri wa nchi hii na serekali ya mafisadi
 
mkwere anapata wenge now..kila sehemu pipo nyomi...mpaka kieleweke...naona sasa ataanza kutoa hotuba kila wiki c mchezo watu kila kona wanampinga na kumshangaa nani alimpigia kura?
 
Waungwana ya kahama mmeyaona? Kesho Bukoba sasa. Jamani tunaomba support. Na huu ni mwanzo mapambano bado yanaendelea. PEEEEEEEPLES
 
Je unajumbe gani mkuu huwa unapitishwa katika mikutano ya Chadema kuhusiana na hali ya kuiondoa CCM madarakani ,nafikiri isemwe wazi CCM wakishinda au wakishindwa 2015 ndio mwisho wake,kwa maana ushindi wao haukubaliki tena ingawa haujawahi kukubalika.
 
Back
Top Bottom