Hiyo ni changamoto kwako IGP MWEMA na askari wako,nahisi miundo mbinu ya kituo hicho haikuwa mizuri kwani mlango wa lock up ungekuwa na mlango wa grill ambao ni imara hata kama askari huyo baada ya kupigwa na kuanguka ingewawia vigumu kuufungua mlango na kukimbia,kwani askari wengine wangekua tayari wamefika kutoa msaada,wajengeeni vituo vizuri na vya kisasa bwana,la sivyo haya yataendelea na tutazidi kupoteza wapiganaji,kazi kwako Mh Vuai nahodha na serikali kwa ujumla,huo ni ushauri wetu wa bure wananchi[/QUOTE]
Nakubaliana na wewe na ni uzembe wa hali ya juu. Hivi hamna kitundu kweli cha kuongelea mpaka mtu afungue mlango aingie jamani? Isingekuwa rahisi kupona, bado tuko nyuma sana.