Nchi ya mazuzu, serikali ya kizuzu..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi ya mazuzu, serikali ya kizuzu.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nziriye, Mar 8, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nilipozaliwa miaka 47 zama ziiilee ,nilikuwa najivunia kuwa mmoja wa wazaliwa ktk ji-nchi hili ,miaka ya 1985 wakapeana vijiti lol matumaini yakawepo na nikawa sina hofu kutamka mbele ya mataifa kuwa mie ni nchi yenye maziwa na asali,milima na mabonde,rutuba na hali nzuuri ya hewa ,miaka ikaenda akaja mwingne miaka ya 1995 huyu hana tatizo kidogo hali ya kujivuna ikawa ipo kwa mbaaali kama mie ni wahapahapa ....miaka ya 2000 akaja handsome boy,mpenda kiduku,smilling face,kijana flani looh nilitoa sauti ya KASI ZAIDI,NGUVU ZAIDI NA HALI ZAIDI .....,hatukuelewa na sisi tukawa MAZUZU,VIONGOZI NAO WAKAWA MAZUZU ,NCHI IKAWA YA KIZUZU..,.maisha yakawa ya kizuzu,umeme wa kizuzu,mabomu yanalipuka kizuzu wanatoa sababu ya kizuzu ...haya kituko zaidi akaja bwana mmiliki wa dowans nae wa kizuzu wakaenda wahariri nao mazuzu wakashindwa kumkaba wakamwacha zuzu kaenda zake huku akijiona kuwa yupo juu amewaweza mazuzu...nadhani uwepo wa chama makini kama cdm ndo tiba ya mazuzu na viongozi mazuzu,wapendwa wanajf shime tuwe pamoja kunusuru nchi yetu ,nahakika miaka ikifika itakuwa poa,umoja ni nguvu na mwenye macho haambiwi tazama.
   
 2. ghumpi

  ghumpi Senior Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Pole mzee. Utafika tu
   
 3. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  mmmh,yani very boring ...hadi najiona kama zuzu ktk nchi ya kizuzu inayoongozwa na mazuzu,bt when am in jf uzuzu unanitoka na najiona mjanja flani,thanx for jf
   
 4. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hi hi hi hiii nimecheka kweli, kumbe matumaini yako yalianza kupoa miaka ya 2000 kati kati eeeh? Pole baba tutakuwa sawa hapo mbeleni.
   
 5. m

  mataka JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  We 2ambie tu km unaipigia pande chadema
   
 6. F

  FUSO JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,860
  Likes Received: 2,338
  Trophy Points: 280
  Kuna baadhi ya watu wana akili humo ndani ya CCM na serikali lakini wanamezwa na ushabiki na makundi ya kimaslahi, kwa mfano watu kama Sita, Mwakyembe na Membe hawa wanaoneka kuwa na akili kuwazidi wenzao ila hoja zao hazitambi mbele ya mafisadi kama kina RA, Chenge na Lowassa.

   
 7. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  No ukweli shall always prevail,always na inabidi uelewe kuwa inapobidi kuwa zuzu kwa positive sense just kuwa zuzu otherwise hata na wewe mataka open your mind because wata-chain our body but surely they can not chain our brains ,kwani i know Tanzania yenye neema haiwezi jengwa na mazuzu.:wink2:'
   
 8. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Pesa mbaya!! Unaweza ukafanya unyama wa kutisha wa namna yoyote ile kisa PESA!
   
 9. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  acheni mazuzu yaitwe mazuzu ..,mnielewe kuwa zuzu we always be zuzu ,no matter how,where ,when and atakuja zinduka paaale atakapoona kuwa watu wapo mtaani ndo uzuzu utamtoka.........
   
 10. Tumaini edson

  Tumaini edson Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cio mazuzu tu, Mwl Nyerere aliwahi kusema hivi 'Taifa la wendawazimu, likiongozwa na wendawazimu lkn pia likiongozwa ki uwendawazimu', hata mtoto mdogo analiona hili.
   
 11. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  lol...its better kuongozwa na mbuzi ,kidogo inasaidia akilia meee unajua ni muda wa kufanya kazi,meee ni muda wa kupumzika,ila tutafika muda si mrefu .
   
 12. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kwa mitazamo wa mtoa mada na wenzie kuwa chadema ndiyo itamtoa uzuzu basi nakiri kweli wengi tu mazuzu. hakuna mwanasiasa au chama cha siasa kitakachomkomboa mtu hasa chama kama chadema ambacho kinacheza na hisia za watu. Itakapofikia zamu yao mtaona mambo yao.
   
 13. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #13
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Watu?....hivi kila ukweli unaposemwa lawama ni CHADEMA?
   
 14. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Shocking! Mkuu una maatizo makubwa sana! tena sana kwa sababu ukichukulia hivyo basi mie naweza kusema wewe ni miongoni mwa wale wakataji tamaa wanaokubali kufanyiwa udhalimu na wakakubali huku wakinung'unika au kuishi kama wakimbizi ktk nchi yao sababu you have lost the hope. Huo ni ugonjwa hatari sana na utabakia kuwa mtumwa ndani ya nchi yako forever! we need to help you sooner rather than later. Arghhh!! hayo ni mawazo ya wengi huko vijijii na ndio maana CCM ilikuwa ikiwandanganya hivyo sasa inashangaza kuona mtu humu ktk what it meant to be a the home of great thinkers ana mawazo hayo! any way kila mtu ana upeo na uhuru wake wa kuabudu!
   
 15. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  kheee,hata mie nashangaaa,ina mana hata ccm hawaaambiani ukweli ama vipi?
   
 16. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  mmmh!!mti wenye matunda ndo siku zote unapigwa mawe...bwana mabulangati naogopa kudiriki kukuweka ktk kundi la mazuzu mana uzuzu wa unaonekana ww unafumbia macho kweli huo si unakuwa uzuzu au?cdm wakiwa wanaudadavua na kuyaonyesha matendo ya kizuzu yanayofanyika ndani ya tz inakuwa ni nongwa au ?tuache uzuzu na tujikomboe ktk utumwa na uzuzu...nimeongea ukweli na siwezi kuwa adui kwa kuongea ukweli.
   
Loading...