Ulikuwa unajua hili? Naomba mnisamehe kwani sikudhamiria......!

Hata MUISLAM aliyeko kinyume na misingi ya uislam nae NI KAFIR hiyo ndio maana halisi ya neno kafir... yeyote aliyeko kinyume na uislam haijalishi ni muislam au mkristo ama budha nk... na kwanza watu wanatakiwa wajue kuwa sio tusi hilo neno... ila ni tafsili ya maelezo hapo juu.

Na wewe pia hujui muisilamu asiefuata uisilamu wake anakuwa munafik sio kafiri. nasema hivi kafiri ni yeyote asiye muisilamu vumilia tu japo inauma kama wewe ni mkiristo ni kafiri tu vumilia maana haki inachoma
 
Singida ni miongoni mwa mikoa maskini kabisa nchini Tanzania! Muda mwingi utawakuta watu wake wamevaa mavazi ya CCM si kwamba ni wafuasi la hasha! ni ugumu wa maisha kiasi cha kushindwa kununua nguo!

Jana niliumia sana kutokana na Mkutano wa hadhara wa WanaCCM Kutumia kilemba cha Waislam!
Hivyo wanachotaka ni nini? Kukuza udini?
Kuficha maovu ya Mwislam Mwezao? Watanzania makafiri hawastahili haki zao? Maandiko matakatifu yaonya "unapoona ovu kemea kwa nguvu zote na ndo wanachofanya Kafiri kupitia maandamano!

Naomba yeyote Mwenye akili anisaidie kutathini mchango wa makafiri na Waislam ktk Kujenga taifa letu!
1. Tuanza na serikali ya uongozi wa kwanza chini ya Hayati Baba wa taifa {Kafir} na maendeleo yaliyopatika enzi zake!
2. Awamu ya pili China Mh Ali Hassan Mwinyi {Ustadhi} na mchango wake ktk Taifa letu!
3. Awamu ya tatu chini ya Ben Mkapa {Kafir} na mchango wake ktkt juhudi za kujenga nchi yetu!
4. Awamu ya nne chin ya Dr Mkwere {ustadhi} hapa no comment!!

Mkutano wajana umenifanya ni hoji ni wapi tulikovurunda na kuwa na vilaza zaidi 1&3 or 2&4 nikimaanisha Nyakati za Makafiri au Maustadhi? Waislam wangejua hili jana wasingeongea chochote kwenye mkutano wao wa hadhara jana Singida!

Naomba mnisamehe kama nimewakera! Mungu akupeni hekima itokayo juu mbinguni!

Ndiyo maana wakati mwingine huwa naamua kwenda kwa Maria Rosa wanku!
 
Wote hamna lolote nendeni Loliondo mkaponywe'' Kwa jina la Yesu'' Hapa hachomoki mtu.
 
Singida ni miongoni mwa mikoa maskini kabisa nchini Tanzania! Muda mwingi utawakuta watu wake wamevaa mavazi ya CCM si kwamba ni wafuasi la hasha! ni ugumu wa maisha kiasi cha kushindwa kununua nguo!

Jana niliumia sana kutokana na Mkutano wa hadhara wa WanaCCM Kutumia kilemba cha Waislam!
Hivyo wanachotaka ni nini? Kukuza udini?
Kuficha maovu ya Mwislam Mwezao? Watanzania makafiri hawastahili haki zao? Maandiko matakatifu yaonya "unapoona ovu kemea kwa nguvu zote na ndo wanachofanya Kafiri kupitia maandamano!

Naomba yeyote Mwenye akili anisaidie kutathini mchango wa makafiri na Waislam ktk Kujenga taifa letu!
1. Tuanza na serikali ya uongozi wa kwanza chini ya Hayati Baba wa taifa {Kafir} na maendeleo yaliyopatika enzi zake!
2. Awamu ya pili China Mh Ali Hassan Mwinyi {Ustadhi} na mchango wake ktk Taifa letu!
3. Awamu ya tatu chini ya Ben Mkapa {Kafir} na mchango wake ktkt juhudi za kujenga nchi yetu!
4. Awamu ya nne chin ya Dr Mkwere {ustadhi} hapa no comment!!

Mkutano wajana umenifanya ni hoji ni wapi tulikovurunda na kuwa na vilaza zaidi 1&3 or 2&4 nikimaanisha Nyakati za Makafiri au Maustadhi? Waislam wangejua hili jana wasingeongea chochote kwenye mkutano wao wa hadhara jana Singida!

Naomba mnisamehe kama nimewakera! Mungu akupeni hekima itokayo juu mbinguni!

Naona jamaa ana hang over za usiku. Kimbia ndugu kapate supu uzinduke.

Poleeeeeeeee
 
Waarabu kutoka Nchi Takatifu ''Oman" wako Loliondo kwa Babu wanaponywa kwa Jina la Yesu!!!!
 
Hebu punguza munkari kwanza, mana yaonekana wakati unaandika hii topic akili ilikua sio yako. Ulichokiandika hakieleweki na sidhani kama kitaeleweka mana unaotaka kuleta wewe ni uchochezi mkubwa ambao sidhani kama tunauhitaji.
 
JAMANI HIKENGE UNASEMA YAFUATAYO: "we mjinga kweli aliyekwambia kwa jina la mhamadi nani! UNAFANANISHA KIFO NA USINGIZI JINA LA YESU NI JINA LISILOFANANISHWA NA LOLOTE! "
"No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people."
Julius Kambarage Nyerere
progress.gif
AND THEN YOU SAY you ahve no right to make decision of any person are u okay?!! Tafadhali sana stop commneting about the most respected people like Mtume Mohammed SAW and Jesus.... You are hurting peoples feelings...and i guess you have no right to do that...refer to your slogan!!!

Think before you comment!!!

Sawa sawa??
 
Hacha UONGO wewe!!!!!!!

Unatakiwa ujue kuwa neno Kafir kwa waislam sio tusi, ni neno lenye tafsili halisi kwa YEYOTE ambaye hafuati misingi na dini ya Kiislam.

Hii haina maana kuwa Kafir ni mkristo pekee bali HATA MUISLAM ALIYEKO KINYUME NA MISINGI YA UISLAM nae anatabulika kama Kafir. Na wala sio kama unavyodai kuwa KAFIR NI MTU AMBAYE HANA DINI... hao ni pagans...

Acha upotoshaji kama ujui haina maana uzungumze.

Kwahiyo mkuu kama nitakuwa nimekuelewa vizuri ni kwamba Jakaya Kikwete nae ni kafiri, kwa sababu hajawahi kwenda kuhiji mecca, licha ya kuwa na uwezo huo kipesa na ameshafika Saud Arabia mara kadhaa. ni hilo tu naomba kujuzwa.
 
Hii thread! nimejaribu kuisoma mara mbili mbili lakini bado sielewi lengo lake ni nini hasa!
Du!!
 
singida ni miongoni mwa mikoa maskini kabisa nchini tanzania! Muda mwingi utawakuta watu wake wamevaa mavazi ya ccm si kwamba ni wafuasi la hasha! Ni ugumu wa maisha kiasi cha kushindwa kununua nguo!

Jana niliumia sana kutokana na mkutano wa hadhara wa wanaccm kutumia kilemba cha waislam!
Hivyo wanachotaka ni nini? Kukuza udini?
Kuficha maovu ya mwislam mwezao? Watanzania makafiri hawastahili haki zao? Maandiko matakatifu yaonya "unapoona ovu kemea kwa nguvu zote na ndo wanachofanya kafiri kupitia maandamano!

Naomba yeyote mwenye akili anisaidie kutathini mchango wa makafiri na waislam ktk kujenga taifa letu!
1. Tuanza na serikali ya uongozi wa kwanza chini ya hayati baba wa taifa {kafir} na maendeleo yaliyopatika enzi zake!
2. Awamu ya pili china mh ali hassan mwinyi {ustadhi} na mchango wake ktk taifa letu!
3. Awamu ya tatu chini ya ben mkapa {kafir} na mchango wake ktkt juhudi za kujenga nchi yetu!
4. Awamu ya nne chin ya dr mkwere {ustadhi} hapa no comment!!

Mkutano wajana umenifanya ni hoji ni wapi tulikovurunda na kuwa na vilaza zaidi 1&3 or 2&4 nikimaanisha nyakati za makafiri au maustadhi? Waislam wangejua hili jana wasingeongea chochote kwenye mkutano wao wa hadhara jana singida!

Naomba mnisamehe kama nimewakera! Mungu akupeni hekima itokayo juu mbinguni!

stupid! Huna la maana uliloandika hapa acha ujinga wako.
 
Thread yenyewe iko kushoto kushoooto.... ueleweki... mara kafir mara ustaadhi... acha kuwapima watu kwa misingi ya dini yao... HUO NDO UDINI WENYEWE

Alafu peleka hii thread kwenye jukwaa la dini , hapa sio mahala pake.

Hivi kwani ni lazima muanzishe topic??? si mnaweza kuchangia za wenzenu??? aaaaaaaaaaaaaggggghhhhh!!!

Acha unafiki banaaa!! Kama haina maana, mbona unaendelea kuchangia? Kama haikuhusu we ipotezee tuuuu na siyo kuleta hasira za kijinga!
 
Sasa hv mambo hadhalani tu, Wakati Waislam wakikazana kulalamika wenzao wakristo wanaendelea kuchapa mwendo kwa spid ya AJABU. Lakini pia ktk awamu zote za uongozi Maraisi wakristo wanaonekana kutulia na wanapoiba wanapuliza huwezi kulinganisha na hawa WAUZA KAHAWA, hakuna kuficha k2 Bajaj haiwezi shindana na VX.
 
Una mwezi mmoja tangu ujiunge na JF, lakini mpaka sasa hivi hujaona ni jinsi gani unaweza kufikisha ujumbe kwenye jamvi pamoja na Taifa kwa ujumla. Ningekushauri uwe unafikiri kwa busara zaidi kabla hujatundika thread hapa. Na kama ulifikiri kwa busara kabla ya kutundika, na huku wewe ukionekana ndiye mwenye hekima kwenye familia yenu, basi waliobaki watakuwa ni balaa tupu.

Anyway, thread yako sielewi inamaanisha nini.
 
Back
Top Bottom