Tanzania yapaa juu!!!!!

Lakini pia ndiyo nchi pekee Duniani ambayo kila kukicha inazidi kudidimia, naifananisha na mmea ambao kila kukicha unazidi kudumaa, hauonyeshi matumaini ya kuzaa Matunda.
 
katika pitapita zangu na kwa udaku wangu katika vyombo mabalimbali na kukusanya mawazo mbalimbali kutoka katika vyanzo vya ndani na nje yetu na kuweka rank, nchi yetu imepaa juu zaidi ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea katika haya:
1. ni nchi ya kwanza kujiripua kwa mambomu yenyewe na huku ikidai nchi ya amani.
2. Ni nchi ya kwanza kufanyia operation mgonjwa kichwa badala ya mguu.
3. Ni nchi ya kwanza kuwa na utajiri wa madini ( Tanzanite) lakini wananchi wake walio wengi hawayajui na wala hawafaidiki nayo.

ni nchi ya kwanza mtoto wa rais anaikejeri serikali ya baba yake na chamachake kuwa haiwajibiki.
 
Back
Top Bottom