Home » News
Waislamu wa Ahmadiyya wakumbusha mafundisho ya Mtume
BY RESTUTA JAMES
26th September 2012
Email
Print
Comments
Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya, imetahadharisha kuhusu maandamano yanayofanywa na Waislamu katika nchi mbalimbali kulaani filamu iliyomkashifu...
Sasa wakati umefika,kama wewe hauishi maeneo hayo, hata kama ni mzaliwa basi ujue umepoteza haki ya kuwa mwakilishi.Afadhali tumchague Mwl.mkuu wa shule moja ya msingi, tena mzaliwa ataweza kutufanyia kazi vema maana wanaelimu ya kutosha siku hizi.Siyo ukae Dar,Mwanza au mikoa mingine ya mbali...
MAUMIVU YA KICHWA HUANZA POLE POLE....YAKIZIDI MUONE DAKTARI...!!!Ndugu,hata shetani au kishawishi huanza pole pole.Ushauri wangu,mwambie asije kwako, na wewe umwelelze kuwa utamtafuta na ukisha pata nafasi muite sehemu ambayo kuna watu wengi ili isiwe na urahisi wa kufanya na mapenzi...LA...
Mkuu hii ni natural instinct ambayo kila kinachoaminika ni kiumbe hai,kina kuwa na tendency au kiko oriented to MULTIPY(Binary)...Ndiyo maana hata wanyama kama mbwa,kuku,ng'ombe n.k huwa wanakipindi chao sio mara zote.Bali kile kipindi kifikapo,basi mnyama jike anatoa harufu ya kuwaashiria...
Mi nawashangaa sana watu.Mfano Bukoba waislam wameshauriwa na mashehe na viongozi wao kugoma kutoa ushirikiano wa kutokuhesabiwa na baadhi wakafanya hivyo.Sasa cha kushangaza,hata viongozi wao walihesabiwa vizuri kabisa kwa ushirikiano na makarani vizuri tu.Maskini wale ambao WALIKUWA WATIIFU...
Ninaamini kuwa Mbowe kasoma ila sijui ni wapi.Ninaamini pia kuwa kusoma si hoja hoja ni kuwa mbunifu katika yale ufanyayo.Kuna watu wengi sana wana Madegree kibao ila hawako innovative hata kidogo.Mbowe ninamkubali sana maana kuwa mwanasiasa tena kusimama hata Bungeni na kutoa hoja nzuri zenye...
Na wewe ndogu hauna hata point!!Kwanza utueleze sababu ya kumpenda mara ya kwanza, na mliahidiana nini hadi kuwa wapenzi.. na baadaye utuelezee kwanini unataka kumuacha?Na umekaa naye muda gani...Siyo kupost tu na kututega kwa kuomba ushauri bila taarifa nyingine..Unadhani yeye hapendi...
Hebu angalia hoja hiyo...!Kweli ni ya kisasi,ila life is a circle...!We umeangalia na kufuata kile walichokutesa,ila haujasema hao watu ndiyo unawakomoa au unawakomoa akina nani kama siyo unajikomoa.Akili nzuri kwanza ungeeanza kuangalia walipo kwa sasa hao pamoja na maisha yao.Leo unatesa kwa...
Njia rahisi wafanye hivi!Wasubiri sensa ifanyike na wao wakubali kuhesabiwa halafu baadaye wajihesabu wenyewe, na hapo watumie hesabu za kawaida kuona wao ni asilimia ngapi ya waTanzania.Mfano..Jumla ya waTanzania ni Milioni 30.Hapa waingie misikitini wahesabu idadi yao TANZANIA NZIMA,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.