Ni kwa vipi naweza mwamini mwanamke anayenitongoza kwamba siyo kicheche? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kwa vipi naweza mwamini mwanamke anayenitongoza kwamba siyo kicheche?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mbukoi, Sep 8, 2012.

 1. m

  mbukoi JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 253
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwanamke kumtongoza mwanaume siyo jambo la kawaida kabisa kwenye jamii yetu ya Tanzania ndiyo maana inapotokea inabidi kutafuta ushauri. Kuna dada amekuwa akinipigia simu za kunitaka niwe naye kimapenzi toka januari mwaka huu lakini nimeshindwa kukutana naye kutokana na mimi kubanwa na shughuli nyingi. Huyu ni mwanafunzi wangu kwenye chuo kimoja nilichokuwa nikifundisha mwaka jana kwa sasa ameshamaliza na anafanya kazi. Binafsi siikumbuki sura yake lakini jina nalikumbuka, mwanzoni alianza kwa kuniomba nimtafutie kazi kwa madai kuwa haridhiki na mshahara anaopata kwenye kazi yake ya sasa.Nilimuahidi kumpa taarifa za uwepo wa kazi ili afanye aplication endapo ningepata taarifa hizo.Hilo likampa fursa ya kunipigia simu mara kwa mara kuulizia kama kuna updates za kazi. Baadaye uvumilivu ulimshinda na akaamua kuweka nia yake bayana kwamba ananipenda na anataka niwe kifuani kwake hata siku hiyo kama ningeamua kumfuata, binafsi nilistaajabu sana na kumshauri atulie nikipata muda ntamtafuta tufahamiane zaidi jambo ambalo halijatokea mpaka sasa. Sasa leo kaniomba nimtumie nauli aje kwangu kwan ana likizo kazini kwake, hilo pia limenitatiza kwani simfahamu undani wake hivyo nimemjibu kama kweli ana nia ya kuja kwangu ajigharamie kwani mipango yangu ya pesa iko tight sana kwa sasa. Ushauri wenu, je, kama akija nimpokee na nianzishe naye mahusiano kwani sina demu? AU nimpotezee kwani anaweza kuwa malaya?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Dah...uswahilini wanaita 'mpira unadunda dunda hakuna mchezaji' hiii...
   
 3. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuwa kila mwanamke anayemtongoza mwanaume ni mhuni. Nafikiri mwanamke kama tu vile mwanaume ana haki ya kupenda na kupendwa na saa nyingine huthubutu kwa ujanja kuonyesha mapenzi yao wazi kwa wawapendao kama alivyofanya huyo. Huyo alichokifanya na kujenga ukaribu na wewe na alopoona kuwa uko +ve naye akaamua ayamwage ya moyoni mwake.

  Kwa kuwa hauna demu na wewe ulikuwa mwalimu wake probably unamfahamu zaidi tabia zake kupitia hulka aliyokuwa naye darasani. Kama alikuwa kicheche mpige chini ila kama alikuwa na tabia njema unaweza kumpa nafasi na kumchunguza kwa muda fulani, with time utagundua kama anakufaa au laa maana tabia haifichiki.
   
 4. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Kaka hakuna kipimo cha imani isipokuwa kwa kuwa pamoja kwa kipindi fulani. Kuhusu suala la yeye kukuanza wewe haiana direct correlation na ukicheche,ameamua kutoidhulimu nafsi tu kwa kukaa kimya cause we live just once. My take put her under probation for sometimes then having satisfied yourself go ahead with the next move. The good thing if she really loves you that much you'll have a 100% assurance of being loved but if she's just horny..........
   
 5. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ebu take time kumchunguza kama wakuu walivyoshauri. Nadhani alikuwa aki admire mwenendo wako tangu akiwa Chuo na wewe ukiwa mwl. wake. I bet haukuwa kicheche ukiwa mwalimu na generally yaelekea una tabia njema na umetulia na hii ndiyo motive ya huyo she kutamani kuwa nawe ktk safari ndefu ya maisha hapa duniani. Give her a chance, otherwise decision maker ni weye mwenyewe.
   
 6. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wewe hapo wala usijiulize mara mbili mbili chakachua K hiyo ila under one condition; we are just gona be frends with benefits nothing more.
   
 7. T

  Tukopampja Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 22, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MAUMIVU YA KICHWA HUANZA POLE POLE....YAKIZIDI MUONE DAKTARI...!!!Ndugu,hata shetani au kishawishi huanza pole pole.Ushauri wangu,mwambie asije kwako, na wewe umwelelze kuwa utamtafuta na ukisha pata nafasi muite sehemu ambayo kuna watu wengi ili isiwe na urahisi wa kufanya na mapenzi...LA SIVYO...KIFO HICHOOOOO hasa UKIMWI.Akija,hakyanani haumuachi!!!
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  kwani wewe ukimtongoza mwanamke , anapokuamini na kukukubali anakuona kicheche?
  au kupenda kuna mipaka ya jinsia?

  anyway ukishikwa shikamana.....byeee
   
 9. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  sasa wewe ulitaka amuache ili iwaje wakati goma kajileta mwenyewe? hivi alafu mbona demu akijileta ndio mwawaza kuhusu ukimwi lakini wale tunao watongoza mbona hatusemi ah huyu sitamtongoza maana hiki kifo ? na wangapi wanapimaga bwana kabla ya kuvuana chupi katika relationships za kileo?
   
 10. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  penye miti hakuna wajenzi!! kwa nini hizi bahati haziji kwetu?? :(

  NB: kumbe wanaume nao wanaweza kudengua kiasi hiki, mie nlidhani ni mademu tuu wako hivyo lol
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hahahahaah! Mkuu unaomba zali kama hili lingekudondokea wewe.
   
 12. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  uzuri na demu mwenyewe yupo huku JF ngoja aje aji support!
   
 13. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Kuna raha ya kuwinda bana...atajiletaje????

  Kuwa makini...vya kuchinja ni vitamu zaidi ya kunyonga.

  Mdada gani hana hata haya...eti ukae kifuani kwake...huyo anaonyesha mshipa wa noma ulikatika zamani na ana homoni za kiumu huyo. Chunguza ujue keshataka wanagapi...uliza walimu wenzio maana inawezekana kabisa ikawa target yake ni lecturers.

  Kwa uzoefu wangu wadada watongozaji wengi ni vicheche.
   
 14. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Miongoni mwa vitu ninavyokupendea ni mifano..mara nyingi katika posts zako huishi kutoa mifano kedekede..
  Hebu nyumba kubwa utendee haki na huu uzi kwa kutoa mifano hai hasa hapo nilipobold..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Huyu anatafuta mkasa, sasa ameshamruhusu mtu apande basi na begi lake kuja kwake likizo nzima, na hamkumbuki sura, hivi haoni hilo ni kukaribisha tatizo? Kwanini asimwombe amtumie picha kwanza amkumbuke? Shauri yake ngoja aje Wassira hapo sijui atakae nae vipi siku 28, kama hakukimbia chumba bwana Mwalimu.
   
 16. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  mi mtazamo wangu ni kuwa, demu ukimuangaikia sana anakuzingua mara nyingi hata mapenzi uwa yanakuwa ya kujiuliza sana, ila mi uwa napenda demu anipende yeye, na sio mara moja wasichana washantongoza, mara nyingi msichana akikupenda uwa ndo kwisha habari yake, ukitaka kumsumbua utamfanya unavyotaka na atavumilia now :focus: mi naona we mkubalie, tena mchakuchue sawasawa huku ukidai ni kipindi cha kusomana, ukiona hana vigezo uvyotaka mwambie mmeshindwana, baada ya kumtumia ipasavyo! u have nothing to loose, hauta umia moyo coz sio wewe uliemtongoza, ila blaza kumbuka tu kutumia mpira, usipige kavu
   
 17. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #17
  Sep 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mhhhhhhhhhh....hii dunia imezidi kuwa kizungumkuti!

  Hata hivyo, hatuwezi kukwepa maendeleo ya sayansi na teke linalokujia kwa kasi......Tutashindaje tumekodolea macho luninga halafu tuogope ku-copy na ku-paste mambo ya mastaa??

  Ila enzi zetu, swala kumkimbiza chui/simba ilikuwa ni big news.....Ni kama vile kumwona kakakuona!!

  Hapa ni muhimu jamaa ausikilize moyo na pia asisahau kuwa mbayu wayu!!

  Babu DC!!
   
 18. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #18
  Sep 9, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,670
  Trophy Points: 280
  Mtoa mada kwanza umejichanganya sana,enwei,tuachane na hilo,naomba unijibu kabla hatujaenda mbali,unafahamu nini kuhusu malaya?Je unajua maana ya neno malaya?Ukijibu maswali haya unaweza kupata jibu la unachotaka kujua!
   
 19. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #19
  Sep 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Kama umeshamwambia AJE, unauliza nini? umtelekeze barabarani au?
   
 20. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #20
  Sep 9, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wacha prejudice kijana, aliyemuumba Tyson - Wasirra, ndiyo huyo aliyekuumba weye!
   
Loading...