Serikali ya chama cha mapinduzi ndivyo ilivyo,,,,binafsi nina namba tu,,,,of course walinitumia sms kwamba kitambulisho nikakichukue kipo tayari,,,nikajizoazoa mzima mzima nikafika,kisha nikauliza Kitambulisho na nikawaonyesha na sms waliyonitumia,,,
Jibu walilonipa”HAKIONEKANI,WENDA...