denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
3,535
2,000
Mbowe kaingiwa na wivu baada ya kuona Tundu Lisu amekubalika zaidi ya nyalandu ambaye sasa anachepuka na mdee na pia mbowe anataka kuvuta pesa toka CCM awawekee garasa nyalandu ili CCM washinde kiwepesi lakini yeye katengeneza pesa, hii ndiyo hali halisi.
Nyalandu kuchepuka na Mdee that's bullshit, personal issues, pevuka kifikra; na Mbowe kutaka kuvuta pesa hizo ni hisia zako tu, siamini kama Mbowe anadanganyika kwa pesa, ingekuwa hivyo angeshakiuza chama siku nyingi sana.
 

ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
9,873
2,000
Lisu ajihadhari sana na Mbowe, Lema, Halima Mdee na Ester Bulaya, hawa ndio walimpigia kura ya HAPANA hafai kuwa mgombea urais,wanamtaka Nyalandu, ujio wake umewakasirisha wanaweza kumdhuru, asipokee maji ya kunywa, chakula wala kushikana nao mikono
Mbona uliacha wakamdhuru Mzee Mangula? Halafu hakuna aliehojiwa hata waliokuwa nae kwenye kikao cha kamati?
 

Kwameh

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
1,443
2,000
Lissu Arrival.JPG
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,205
2,000
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho nani alijua Bashite sasa ni raia wa kawaida ingawa Mtukufu anamtafutia cheo haraka apate Ulinzi aokoke na moto wa wale aliowaonea wote, wapo wapi akina Idd Amin Dada, Abacha, Elibashiri, mabutu, chiluba, Bokasa, Gadafi, Sadam Hussein, na wenzao walikuwa na roho mbaya zaidi ya mtukufu
 

Idd Ninga

Verified Member
Nov 18, 2012
4,825
2,000
Tundu Karibu Nyumbani.

Karibu nchini mwako,huku ulipozaliwa
Hili ni taifa lako,tena ulilolelwa
Wapo humu ndugu zako,wa damu wakuzaliwa
Rafiki na jamaa zako,kwa hamu wasubiriwa
Tundu karibu nyumbani,kilipo kitovu chako.

Karibu rafiki yetu,karibu tena nyumbani
Wewe bado ndugu yetu,asiejua ni nani
Karibu nyumbani kwetu,Tanzania ndo nyumbani
Karibu ule vya kwetu,na siyo vya ugenini
Tundu Karibu nyumbani,Ilipo asili yako.

BY: Idd Ninga.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom