TCRA kulazimisha laini moja tu kwa kila mtandao kwa Raia si sahihi!

Graph

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
2,743
2,000
Nilishasema humu, kati ya taasisi zinazoongozwa na vilaza nchini ya kwanza ni TCRA, kuanzia ngazi za juu jamaa ni kilaza balaa hadi mtu wa mwisho anayefagia majengo yao. Those guys msitegemee watakuja na solutoins innovative hata siku moja, wanalipwa mshahara wameridhika basi. So stupid.

Wana kale ka tabia ka mtu anaamka anaenda ofisini na proposal, anauliiza kwani watu wanakua na line nyingi kwa sababu ipi hasa, si tufunge tu, wenzake wanasema "ndiyo" basi wanafunga, kiutani utani tu hivyo. Makalio kabisa
 
Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,401
2,000
Enzi za ujima kulikuwa na kiwango cha juu cha kumiliki vitu.. Mfano ilikuwa ni mwiko kwa kiongozi kumiliki nyumba zaidi ya moja.
Sasa hii ya TCRA kutangaza kuwa hutoruhusiwa kumiliki laini zaidi ya moja ya mtandao fulani, ni zaidi ya ujima.. Mfano mtu una line mbili za Airtel, moja kwa ajili ya simu na nyingine kwa ajili ya Modem.. Chini ya ujima wa TCRA hutokuwa na haki ya kutumia zaidi ya line moja ya mtandao mmoja hata kama mahitaji yako ni ya zaidi ya line moja.
 
Assalafiyyu

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,758
2,000
Nilishasema humu, kati ya taasisi zinazoongozwa na vilaza nchini ya kwanza ni TCRA, kuanzia ngazi za juu jamaa ni kilaza balaa hadi mtu wa mwisho anayefagia majengo yao. Those guys msitegemee watakuja na solutoins innovative hata siku moja, wanalipwa mshahara wameridhika basi. So stupid.

Wana kale ka tabia ka mtu anaamka anaenda ofisini na proposal, anauliiza kwani watu wanakua na line nyingi kwa sababu ipi hasa, si tufunge tu, wenzake wanasema "ndiyo" basi wanafunga, kiutani utani tu hivyo. Makalio kabisa
Kuna mambo mengi yA kusolve. .. Wao wanadeal na upumbavu.. .
 
Uwazitu

JF-Expert Member
Aug 19, 2019
1,341
2,000
Kwa hiyo kuna zoezi kingine la kutufungia sie wenye laina zaidi maoja kwa mtandao mmoja.

Hii serikali kwa nini imewekeza sana kwenye kudhibiti mawasiliano ya wananchi wake.

Mnaongea sana na Mabeberu.
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,863
1,250
Mnaokomenti msilishwe maneno ya hovyo serikali ishalitolea ufafanuzi Jambo hili ni kuwa uwe na laini moja kwa mtandao mmoja.

Nyie ropokeni tu hapa kwa kumfuata mtoa mada mnaendekeza ukilaza haingii akili hata kama viongozi wetu wameishiwa utafakari huku ni sawa na kuwatukana viongozi na wengine mnashabikia kwa kitu si kweli!!!

Hili taifa lina wananchi bendera fata upepo.

Kwani nikiwa na line 3 Serikali inapoteza nini?
 
GODZILLA

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
5,301
2,000
Kwani nikiwa na line 3 Serikali inapoteza nini?
Mwishowe watasema ukitaka kupiga simu nenda kwa mwenyekiti wa mtaa!

Wengine wote hakuna kumiliki laini ili kuzuia uhalifu!

Yaani, ni shida! These people are amazingly stupid!
 
D2050

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
1,706
2,000
Mnaokomenti msilishwe maneno ya hovyo serikali ishalitolea ufafanuzi Jambo hili ni kuwa uwe na laini moja kwa mtandao mmoja.

Nyie ropokeni tu hapa kwa kumfuata mtoa mada mnaendekeza ukilaza haingii akili hata kama viongozi wetu wameishiwa utafakari huku ni sawa na kuwatukana viongozi na wengine mnashabikia kwa kitu si kweli!!!

Hili taifa lina wananchi bendera fata upepo.
kiongozi mimi ninapoishi mtandao wa internet uliobora kabisa ni kampuni ya Voda.kwahiyo nina line mbili za kampuni ya Voda moja ninatumia kwenye kompyuta kununulia bando na moja naiweka kwenye simu kwa ajili ya kupiga na matumizi mengine.
 
Rodger Mhina

Member
Oct 1, 2017
81
125
Mnaokomenti msilishwe maneno ya hovyo serikali ishalitolea ufafanuzi Jambo hili ni kuwa uwe na laini moja kwa mtandao mmoja.

Nyie ropokeni tu hapa kwa kumfuata mtoa mada mnaendekeza ukilaza haingii akili hata kama viongozi wetu wameishiwa utafakari huku ni sawa na kuwatukana viongozi na wengine mnashabikia kwa kitu si kweli!!!

Hili taifa lina wananchi bendera fata upepo.
Kuwa line moja kwenye kila mtandao lina tija gani ? kuna watu ambao shughuli zao za kila siku zinawafanya kuwa busy sana na kupokea simu nyingi hivyo ni uamuzi wake kuwa na idadi ya simcard anazotaka. Kama mtu anaweza miliki simu 3 hadi 4 unamzuia vipi asimiliki simcard anazohitaji ? Mtu anaweza miliki gari 6 za kutembelea ili mradi zimesajiliwa, itakuwaje simu card iwe mtihani ?
 
infinix

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
2,072
2,000
Mnaokomenti msilishwe maneno ya hovyo serikali ishalitolea ufafanuzi Jambo hili ni kuwa uwe na laini moja kwa mtandao mmoja.

Nyie ropokeni tu hapa kwa kumfuata mtoa mada mnaendekeza ukilaza haingii akili hata kama viongozi wetu wameishiwa utafakari huku ni sawa na kuwatukana viongozi na wengine mnashabikia kwa kitu si kweli!!!

Hili taifa lina wananchi bendera fata upepo.
Wewe ni mjinga kweli kweli. Kwani viongozi wana jukumu la kufikiria na kuamua mahali pako wewe?

Kila mtu anajua kinachomfaa maishani mwake, kwani mtu akiwa na hata laini 5 na zote kazisajili kuna ubaya gani???

Walipandisha bei ya mafuta ya taa kwa kisingizio cha uchakachuaji, kwani mwanao akiwa mwizi wa sukari huko kwenu, dawa yake ni kuacha kununua sukari???

Hao wenye kuamua kwa mtindo huo hawafai kuwa viongozi na ww usizowee kutuandikia ugoro kama huu siku zijazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom