Lema amjibu DPP Mganga Biswalo, amtaka aache kutisha watu

Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
6,950
2,000
Ktk kipindi ambacho hutakiwi MTU kuogopa lolote nikipindi hiki...nafurahi kuona ofisi ya DPP haimuogopi MTU na nafurahia zaidi kuona MTU binafsi nambunge hamuogopi MTU/au taasisi ikienda hovyoohovyoo kuisema ijirekebishe.....nadhani muda wakuelewana ufike

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni wajibu wa jamii kukemea uovu na kuiweka madarakani serikali itakayokuwa bize kupambana Na maendeleo kuliko kutwa kupambana Na watu.Ccm ni embe lililoiva
 

Patriot

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
5,155
2,000
Mbona CCM kutwa wanaenda kuwaomba misaada mikopo? CCM mnaomba omba mpaka mfalume wa Morocco awajengee uwanja wa soka Dodoma kwani CCM ni wapuuzi kutegemea Wachina na wazungu? Wajibie CCM tuone jibu lako
CCM ndo kipimo chako? Wakiwa wapuuzi nawe unakuwa hivyo?
 

Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
6,950
2,000
Huna ukweli hapa maana inaelekea unamtetea DPP tu ili upate uteuzi kumbuka miezi imesalia michache kuingia October mpate kufanya uchakachuaji ubaki na mfumo wa chama kimoja CCM na bunge kuwa butu mtunge Sheria DPP awe boss mkubwa zaidi ya hata Jaji mkuu Mwanasheria mkuu, swali kwako wewe je? ni haki DPP kuitisha vyombo vya habari kuhumukumu Lema? je? ni haki DPP kujimwambafy? je? ni haki DPP kuwaweka watu jela miaka kibao kisha kuwafutia mashitaka kuwa hawakuwa na Hatia? je? ni haki kwa wewe Msukuma kumtetea msukuma mwenzako? Naibu Rais Daud Bashite Msukuma DPP Msukuma na wewe Msukuma sidhani kama mtaacha Tabia ya kuteteana
Chama kimoja haiwezekani sababu bila misaada hawawezi.Labda vibaki vyama vya msimu Kama nccr,tlp,udp kuwaada mabeberu.
Hawawezi dumu milele watapita tu kama upepo,wataingia wengine
 

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,496
2,000
Nchi imeshikwa na kutawaliwa na washamba aisee.. Hakuna anaejua kazi yake aliopewa inaishia wap, na hapo ni kuanzia juu kabisa mpaka chini..
 

Ichobela

JF-Expert Member
Jan 7, 2012
325
250
Tuacheni hii laana ya ukabila.
Lema tulia acha mchecheto.
Unazidi kuharibu tu wala hamna cha maana unachokiongea kwa sasa.

Wewe uliichafua serikali hadharani na dunia nzima ilisikia kupitia media.

Sasa unataka serikali ikae kimya bila kutoa ufafanuzi kwa wananchi eti kesi iko mahakamani?

Kama wewe ni waziri kivuli wa mambo ya ndani.mbona hukutumia njia muafaka kuwasiliana na waziri au vyombo husika ili kuupata ukweli halisi kabla ya kutafuta kick za kisiasa majukwaani?.

Sasa unaweweseka baada ya kuona hali imekaa vibaya na sheria inakuelemea

Kweli hii ni!

CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO (CHADEMA).

maendeleo hayana vyama

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ichobela

JF-Expert Member
Jan 7, 2012
325
250
Fallas
Nadhani wapinzani muanzishe kikundi cha taarabu mkate na viuno kuukatikia mti. Yaani Mh. Lema unakosa kabisa hoja unabaki kutoa allegations za uongo uongo. Hivi ni nani ambaye aliwahi kusema ofisi ya DPP ni legelege? Yaani hujui hata DG wa TPDC ilikuja kubainika alisingiziwa? Hivi hujui msamaha kwa wahujumu uchumi umetoa nafasi kwa wahusika kujutia makosa??? Hivi Mh. Lema kwa nini hamkumlipia Kabendara? Yaani mmeishiwa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Akasankara

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
3,021
2,000
Watawala kuonea wapinzani si vyema hata kidogo, Watu wanateseka sana na mashtaka feki ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha
 

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
21,067
2,000
Unajua mi nimesoma na shule imeijenga akili yangu. Nikiona mtu anahusisha kabila na majukumu ya kiserikali, napata hisia kwamba huyo shule yake ndogo. Akili haijanufaika na elimu.

..unamzungumzia Jpm na kauli zake za hivi karibuni?

..ila nakubaliana na wewe kuwa kila mtu abebe "msalaba" wake.

..siyo haki kabisa kuhusisha matendo ya DPP na kabila lake.
 

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,568
2,000
Naamini kabisa Lema anatumia bange
Lema kasema watu 14 wamechinjwa,kaambiwa aoneshe anatoa clip akiwa kajificha chumbani
 

Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
6,950
2,000
..unamzungumzia Jpm na kauli zake za hivi karibuni?

..ila nakubaliana na wewe kuwa kila mtu abebe "msalaba" wake.

..siyo haki kabisa kuhusisha matendo ya DPP na kabila lake.
Sababu yanajirudia rudia kila jamii hio ipatanapo nafasi Zaid ya watu Sita sasa tofauti Na jamii zingine huwezi sikia hayo
 

Msuluhishi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
249
250
Pointi ya Lema ni kuwa " DPP aache kuingilia uhuru wa mahakama" Hapo si mahali pa kujibizana ila ilikuwa mahali pa kumweleza DPP asimfuate fuate kwa sababu kesi ipo mahakamani.

Kuingilia uhuru wa Mahakama ni kosa kisheria na kikatiba. Mhe. Lema kama Mbunge ni mtunga sheria na anajua hivyo. Angekwenda mahakamani kumshitaki DPP badala ya kumtolea vitisho ambavyo, kisheria, vinazidi kumtia hatiani yeye mwenyewe. Pili, hili suala la kufuata fuata ni tuhuma ya ajabu kusemwa na Mhe. Lema. Yaani kwa vile ni Mbunge na Waziri Kivuli basi anafikiri anaweza kuvunja sheria na kubaki juu ya sheria?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom