Nadhani kwa mtu makini na mwenye shahada ya uzamivu ungeanza na maana (definition) ya ukweli ili tuhusianishe unachokisema na hiyo maana kuliko kuanza na attributes za ukweli. Nina mashaka si na kile ulichosema bali uelewa wako juu ya neno "ukweli"
Ni wale tu walioweka akili zao rehani wanaweza kusema namna hii na kwa wepesi wa hoja km huu unaonesha si uhalisia ila chuki za mtu kwa CHADEMA. Heri anayepeleka maoni ya wananchi wake kwa lory aliyokusanya hadharani kuliko wale waliowarubuni watu kwa kwenda na maoni yao kufungia watu kwenye...
Karibu sana mama! Swali: je, mama sheria ya ardhi km ilivyo sasatkuwa ni mali ya raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tz huoni kuwa inaweza kutumimika vibaya na watawala wasiowaadifu na kusababisha chuki kati ya wananchi na serikali km inavyotokea sasa Ngorongoro na maeneo mengine?
Kwa hiyo hao akina Mwigulu ndo wana nidhamu? Unaitafsiri vipi nidhamu? Na ndo mana hukuwa spika na kamwe huwezi kuwa. Never argue with the professionals people might notice the difference.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.