Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,325
Mimi nafikiri wa Tanzania mlitakiwa muende mbaali zaidi ya kile mnachifikiri. Mlitakiwa mangalie kwa kina Ni makanisa gani yanayoshambuliwa. Mtagundua yote ni ya katoliki(znz na Arusha).
baada ya hapo mlitakiwa mchunguze kwanini Katoliki? Je katoliki wana chuki na waislam au hata madhehebu mengine ya kikristo?
baada ya hapo kanisa hilo lilitakiwa lijitafakari n a kujitathmini.