TRUTH SEEKER78
Member
- Dec 22, 2012
- 19
- 5
Achana na huyo... Amejichokea akalale kwake.
Kibwana Dachi namkubali tangu kitambo sana
Dokta wa mananasi!
Hivi Kikwete ana Masters ya nini kweli??
ya kusafiri
dah huyu baba akiwa rais sjui picha yake itawekwaje kwenye ofisi za serikali
![]()
Kibwana dachi anatumika na cdm
Akija kutolewa macho mtamsaidia?Nyie mchongeani tu mwenzenu
Bila jicho au mbavu!tutamwokota mabwepande muda si mrefu
Aaahgh, wacha maudhi mkuu... atakoma mwenyewe, badala ya kusinzia bungeni atakua analala..bado kupeleka godoro tu!!Ni kiongozi gani ambaye hakupitia CCM hata hao miungu mtu akina SLAA, na wabunge wenu wengi walikuwa ccm je ni njaa ziliwaondoa ccm au ninyi mnamuona wasira tu kweli wasira anawatesa na mwaka huu mtakoma.