Ktk waandishi wa habari bogus ni kibwana dachi, huyu ni amevamia fani na hajui alifanyali, waandishi wa aina hii ndio huchochea machafuko ktk nchi mbalimbali. Shame of u kibwana dachi. Zamani Akiwa Salum mwalimu nilipenda kuangalia kipindi cha asubuhi njema cha Chanel ten now tangu akiendeshe huyu jamaa kimepoteza mvuto kbs!
....Chuki binafsi... kila mtu anao uhuru wa kutoa mawazo... lakini sio kila mawazo yanayaotolewa kwa uhuru huo yakakubalika na wengine ... kwa sababu hata uwezo wa kufikiri binadamu wanatofautiana!!!!!