TRUTH SEEKER78
Member
- Dec 22, 2012
- 19
- 5
kweli sisiem mmekubuhu hamna jipya.
Walanguzi ni wale wanaojichotea ruzuku ya chama na kuzigawana na mahawara zao.
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
100 wachache tuko nje zaidi ya 150 tunasubiri ifike hiyo 2015 tu wataonanje wanaosubiria kuingia bungeni 2015 wako zaidi ya 100 hivi, mimi ni mmoja wao. Subiri uöne mkuu!
Mkurugenzi wa utekaji na uhasama wilfred lwakatare.
Swali rahisi kabisa! Marekani ina wananchi wangapi? Ina ukubwa gani? Na je ina mawaziri wangapi? Hivi unafikiri Tanzania inahitaji baraza la mawaziri la watu 60 kama la Kikwete? Baraza la Kikwete limejaa watu waliokuwa wanalipwa fadhila tu, hakuwa na sababu yoyote ya msingi ya kuwa na baraza kubwa kama hili. Hata wewe unalijua hilo. Chadema wakiwa na mawaziri kumi tu wanatosha kabisa. Nchi haiongozwi na mawaziri. Mawazirii ni wasemaji tu wa masuala ya kisiasa. Nchi inaongozwa na watendaji na wataalamu katika sekta mbalimbali kwenye kila wizara. Tunaweza kuwa na mawaziri watano tu, na kazi ikafanyika ya maana kuliko inayofanya na mawaziri 60 wa Kikwete waliopata uwaziri kwa misingi ya kulipana fadhila.Hata profesa wao hamna kitu.Mawaziri wao vivuli hawajai hata mkononi. hv kweli wakipewa nchi wataweza kuongoza??
Uelewa huu wa maana ya ushindani ndio tatizo letu kubwa kama taifa. Na haswa wanachama na zaidi viongozi wa ccm. Mengi sana yangeepukika kama wengi wangeelewa maana ya upinzani/ushindani na dhana nzima ya Demokrasia. Umbumbumbu tulionao katika swala hili utatutafuna kwa muda mrefu na muda wote ambao CCM itaendelea kuwa madarakani. Kiwango cha elimu nchini kitazidi kushuka, akaunti za Uswiss zitakuwa kubwa na idadi kuongezeka, matibabu yatazidi kuwa duni na nchi kugeuzwa uwanja wa kigaidi kutokana na umaskini.Kazi ya Chadema ni kukosoa siyo kupigia makofi serikali ndo maana ya vyama vya ushindani/upinzani duniani kote. Kazi ya Serikali ni kuwaletea wananchi maendeleo kwa kutumia kodi za watanzania wote , wakiwepo wanachadema, na siyo kwa kutumia mishara yao. kukoselewa siyo kulaumiwa.
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Kwa sasa tupo iringa bungeni tutarudi baadae sana siku makamanda watakapomaliza somo mikoani
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
CCM ndo hawana jipya au CDM?kweli sisiem mmekubuhu hamna jipya.
Matatizo ya kilimo hayatatuliwi kwa hotuba nzuri kijana. Wabunge wengi sana wa CCM wameipinga hiyo budget, mambo mengi yapo kibabaishaji tu humo. Usinogewe na mbwembwe za Waziri, Devil is in the details!!Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
CCM ndo hawana jipya au CDM?
Hata profesa wao hamna kitu.Mawaziri wao vivuli hawajai hata mkononi. hv kweli wakipewa nchi wataweza kuongoza??
Hata profesa wao hamna
kitu.Mawaziri wao vivuli hawajai hata mkononi. hv kweli wakipewa nchi
wataweza kuongoza??
Waziri wa Kilimo Mhandisi Chiza ameichambua HOTUBA ya waziri kilimo wa Chadema kuwa haina viwango ilijikita kutoa lawama badala ya majibu muafaka.
Kwa kweli ukifuatilia hotuba ya Waziri Chiza utagundua CCM ipo makini kutatua matatizo ya kilimo wakati CHADEMA wamebaki kupiga kelele kwa kutumia mawaziri vivuli wasio na viwango
Uelewa huu wa maana ya
ushindani ndio tatizo letu kubwa kama taifa. Na haswa wanachama na zaidi
viongozi wa ccm. Mengi sana yangeepukika kama wengi wangeelewa maana ya
upinzani/ushindani na dhana nzima ya Demokrasia. Umbumbumbu tulionao
katika swala hili utatutafuna kwa muda mrefu na muda wote ambao CCM
itaendelea kuwa madarakani. Kiwango cha elimu nchini kitazidi kushuka,
akaunti za Uswiss zitakuwa kubwa na idadi kuongezeka, matibabu yatazidi
kuwa duni na nchi kugeuzwa uwanja wa kigaidi kutokana na umaskini.
Mungu iepushe Tanzania na janga hili.
Hata profesa wao hamna kitu.Mawaziri wao vivuli hawajai hata mkononi. hv kweli wakipewa nchi wataweza kuongoza??