Kwa kweli inakera sana, safari inakuwa chungu wakati kwa wenzetu safari ni adventure.
Mimi siku hizi tukifika kwenye hizo hoteli sinunui chochote zaidi ya kuvuta sigara na kunyoosha miguu.(Ref.Nangulukulu e.t.c)
Hicho chama wako vizuri tu, hata wajane wa kawaida wanakutana nao mikoa yote ya Tanzania, nakumbuka mwaka jana walikuja Mtwara na Lindi kukutana na wajane bila ubaguzi wowote, Jackline ni mtu maarufu ndio maana tukio la kumtembelea limetengeneza headlines.
Kwa nyongeza tu, hizo MCB (Switchi) za kwenye Main Switchi ikitokea imejizima kutokana na hitilafu yoyote iliyopo ndani ya nyumba na hiyo switchi haikufika mwisho wakati wa kujizima, kabla ya kuiwasha tena inatakiwa uipeleke mpaka mwisho (Press downward) halafu unaiwasha kwa kuipeleka juu (Press...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.