Umoja wa Chama cha Wajane Wamtembelea Bi Jackline Mengi

Umoja wa Chama cha Wajane Wamtembelea Bi Jackline Mengi

Ibara ya sita, sehemu ya kumi kifungu F,...uanachama wa mwanachama utakoma mara moja iwapo ataolewa/ oa au kufa.
Masharti ya ibara hii hayapingani na yale ya ibara ya pili kuhusu mwanachama kuwa au kutokuwa na mpenzi wa muda...


Dah! hata sijaelewa kitu kwenye hii katiba ngoja niscan niwawekee kopi mkasome wenyewe!
 
Hawa wahuni tu hawawezi kufanya kwa watu wote, wapo hapo kimkakati, wamealikwa ili bibie apate public sympathy baada ya wosia wake wa kitapeli

Uko na akili mingi sana wewe [emoji4]
 
Mbona huwa hatuwaoni wakiwatembelea wajane maskini?

Pesa, Fedha, Mpunga, Money, Cash ndio kila kitu kwenye hii Dunia.
 
Ila dada zangu mnaodanga muone aibu,yaani huyu kahomola mali zote za Mengi daah hana hata huruma kwa familia ya Mengi.Alafu kesho nae utasikia anapewa tuzo ya malkia wa nguvu,anatoa ushauri kwa wajasilia mali kumbe yy ni mjasilia K.


Ha ha ha ha ha ha ha ha sidhani km hilo atafanikiwa tena awe tayari maana akishupaza shingo hakuna rangi ataacha kuona
 
View attachment 1190668View attachment 1190668UMOJA wa Chama cha Wajane na Wagane nchini wamefunga safari mpaka nyumbani kwa mjane wa marehemu Reginald Mengi, anayefahamika kwa jina la Jacqueline Mengi, kwa lengo la kumfariji ikiwa ni miezi michache imepita tangu mumewe afariki dunia.
Ni jambo jema lakini je wajane wote nchini automatically ni wanachama wa hicho chama au mpaka wajisajili? Je hiki chama ndo kimeanza kutembelea wajane au hii ilikuwa kazi yake tangu kuanzishwa na kama ilikuwa kazi yake tangu kuanzishwa mbona haikuwai kufahamika kuwa kuna wajane waliotembelewa ambao waliwahi kufiwa miaka ya nyuma? Au chama kimeundwa hivi juzi kwahiyo kimeanza na huyu kisha wengine?
Ni maswali ambayo nimejiuliza tu ila sitaki kujibiwa
Wanafanya kazi nzuri naona wameanza kwa kasi sana
 
Hicho chama wako vizuri tu, hata wajane wa kawaida wanakutana nao mikoa yote ya Tanzania, nakumbuka mwaka jana walikuja Mtwara na Lindi kukutana na wajane bila ubaguzi wowote, Jackline ni mtu maarufu ndio maana tukio la kumtembelea limetengeneza headlines.
 
Back
Top Bottom