Recent content by Trueman m

  1. Trueman m

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    NMB naona leo wamenikumbuka, Huwa napata wa mwishomwisho, Sina hata mzuka sababu nikifanya fujo kidogo tu, madogo Julai shule hawaendi
  2. Trueman m

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    NMB naona leo wamenikumbuka, Huwa napata wa mwishomwisho, Sina hata mzuka sababu nikifanya kidogo tu, madogo Julai shule hawaendi.
  3. Trueman m

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hahaha angalia usidondokewe na nyigu.
  4. Trueman m

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Afadhali wewe ulitoka sasa nane za usiku wengine ndiyo tumepata sasa hivi sasa Saba!
  5. Trueman m

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Na mie nawaza kama wewe mkuu.
  6. Trueman m

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hauko peke yako ndugu, tuko wote.
  7. Trueman m

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Sasa uongo hapo ni upi? Hiyo niliyoweka mie ni take home, labda kama wewe unaongelea basic salary.
  8. Trueman m

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Tofautisha basic na take home, yeye alitaka take home, take home ya F haiwezi kuwa 1,300,000/= .
  9. Trueman m

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hiyo ni basic mkuu, anataka take home.
  10. Trueman m

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    G1 ni Tshs 1,254,000/= G2 1,277,000/=.
  11. Trueman m

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hivi wakuu, kada ya ualimi ajira ya 2011 anapaswa kuwa daraja gani? Naona kama nimestack G!
  12. Trueman m

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Inaelekea sasa 6 mchana, kuna dalili yoyote huko?
  13. Trueman m

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Wakuu, habari za asubuhi, naomba kuwekwa sawa, watumishi wa kada ya ualimu walioajiriwa January 2011 kwa sasa wanapaswa kuwa daraja gani? Natanguliza shukrani zangu kwenu. ( Wale wenye shahada).
  14. Trueman m

    JamiiForums Tanzania FT' Tanzania 1-1 Tunisia - AFCON 2025| Group Stage | Group C | Match 3 of 3 | Stade Prince Moulay Abdallah Stadium | Saa 19:00 Usiku

    Mkuu, pole sana japo buku langu limeniuma utafikiri niliweka 500,000/=.
  15. Trueman m

    JamiiForums Tanzania Wakili Amon Mpanju: Kama hakuna amani utawezaje kudai haki na kutimiza wajibu wako?

    Kama kumbukumbu zangu ni sahihi, mwaka ule wa bunge la katiba, aliwahi kukwambia "Napuuza hoja yako kama ninavyokupuuza wewe mwenyewe". Kwahali aliyonayo bwana Mpanju wabunge wengi waliotoka kambi ya CCM walipoga kelele kulaani kauli ya ndg Jussa, lakini ukweli usemwe, tumekuwa na taiga la hovyp...
Back
Top Bottom