Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,235
- 4,382
Kanuni ipo mkuu. Tuna point 2 sawa na Angola ila tumefunga magoli 3 wakati Angola wamefunga 2Wachambuzi wanasema Starz wameenda kama bestlooser. Sijaelewa wameenda kwa kanuni gani?
Kanuni ipo mkuu. Tuna point 2 sawa na Angola ila tumefunga magoli 3 wakati Angola wamefunga 2Wachambuzi wanasema Starz wameenda kama bestlooser. Sijaelewa wameenda kwa kanuni gani?
Mkuu, pole sana japo buku langu limeniuma utafikiri niliweka 500,000/=.Mkuu, wewe umeweka hela ndogo hivyo kama huna uhakika kuwa Stars anakandwa leo? Mimi nimempa Tunisia 200,000/=.
Asante Mkuu. Ila mechi ya Morocco vs Tanzania nitaweka tena. Shida Kanjbai kawapa odds ndogo sana, yaani 1.15 vs 22.8 🙆. Maana yake Kanj anajua li Taifa Stars linakufa mapema ndani ya dk 8 tu za kwanza.Mkuu, pole sana japo buku langu limeniuma utafikiri niliweka 500,000/=.
Mechi itakuwa ni ngumu, lakini tegemea kisichotegemewa.Asante Mkuu. Ila mechi ya Morocco vs Tanzania nitaweka tena. Shida Kanjbai kawapa odds ndogo sana, yaani 1.15 vs 22.8 🙆. Maana yake Kanj anajua li Taifa Stars linakufa mapema ndani ya dk 8 tu za kwanza.