Daaah mkuu mimi sina kazi ya maana lakini walau napata kidogo changu, nna maisha kama yako ya zamani Pombe+Nyama+Mademu.
Nmekuwa limbukeni sana wa papuchi yani huniambi kitu. Nafikiri ni stage tuu ambayo wengi tunapitia ila kusanuka ndo inakuwa mtihani mzito yani usanuke uachane na hivi vitu...
Tupo wengi sana ambao tunaenda kumaliza semester na tuna mitaji kiasi flani ya kuanzi biashara ila bado hatujui biashara ipi ya kufanya wakuu tunasoma comment zenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali langu ni kwamba mazingira yanaweza mbadilisha mtu aka mix Tabia za introvert na extrovert ?
Mfano mimi origin yangu ni mpole, mpenda amani mtu wa kufikiria sana ila katika utafutaji nimejikuta na adopt tabia za Sanguine nmekua mropokaji nisiye na aibu ata kidogo wakati mwanzoni sikuwa ivyo...
Mkuu kweli hizi ndio vitu vya ndani tunatakiwa kujua jamaa kaeleza poa ila maelezo yake unaweza Google ukayapata yote mambo za kitaani tabia za wanawake wa kizungu ndio vitu vya muhimu kujua
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah huu uzi unanihusu kabisa Karma is the Bitch.
Kuna kadada ka watu kalokole kanipenda wazimu nakili kabisa sijawahi kupendwa kama huyu anajitaidi kunijari sana, simu za mara kwa mara, show siombi naletewa mwenyewe kakija kanajichanua huko kalokole ka watu kanifurahishe me nakaangalia tuu...
Na mimi nilikuwa nasema kama wewe siwezi kukojoa kwa kunyonywa dushe.... Juzi kwenye pit zangu nikakutana na mtoto wa Ustadhi amekuwa binti mkubwa sana kipindi anasoma alikuwa anaonesha dalili flani hivi maana nlikuwa nampigia pindi mtaani nikawa navunga c unajuwa watoto wa Magu, Sasa juzi...
Walikulizaje man share ya experience tujifunze humu ?
Ila haya mambo ya online kama huna uzoefu nayo na hufanyi research utauumia.
Sister angu ndo alinijaza ujinga baada ya kuagiza toy la mtoto likafika akaniambia waminifu hakuangalia vitu vingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi ungekuja siku kadhaa nyuma ungesaidia sana najuta kufanya shopping Kikuu i swear sitorudia tena kikuu.
Jamaa zangu walinijaza nikajaa kumbe wao wamezoea kuagiza flash disk moja na wanaishi Mikoani hawajui ata bei ya bidhaa kariakoo na quality zake.
Nlifanya shopping kubwa baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.