Tuliowahi kuwaona Marais wote watano kwa macho tukutane hapa. Taja na maeneo uliyomuonea

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,926
1. Mwalimu Julius K. Nyerere.

Nilimuona kwa macho yangu mwaka 1990 wakati Mandela alipokuja Tanzania.

2. Mzee Ali Hassan Mwinyi.

Mwaka 1994 chuo Cha ualimu kigurunyembe.

3. Benjamin William Mkapa.

Edinburgh Scotland.
Rome Italy
Mpwapwa dodoma.

4. Jakaya Mrisho Kikwete.

Mwanjelwa Mbeya.
Misungwi mwanza.
Kakonko biharamulo.
Bujumbura Burundi.
Morogoro pangawe jeshini.

5. John Joseph Pombe Magufuli.

Dodoma.
Kampala Uganda.
Arusha.

Super B.
 
Hapo wote nimekutana nao katika issues, hii ya kuwaona sikujua kama pia kuna watu wanaweka kumbukumbu umenifanya nikumbuke mbio za mwenge kule kijiji cha bitaraguru-mara na mbiti-bariadi
 
Nyerere sikuwai kumuona live...na alipokuwa amekufa sikwenda taifa au kujipanga barabarani kuaga mwili... Ila hao wingine wote nimewaona ktk nyanja tofauti tofauti hasa ktk mikutano na makongamano
 
Kikwete tuu Police college Kurasini though ata Mkapa nlimuona Baracks ila kwa mbali
 
Nyerere nilimuona mwaka 98 alikuja kambi ya wakimbizi Ngara, mwinyi sijawahi muona. Mkapa,kikwete,Magu nimewaona sehemu tofauti tofauti
 
1. J. K. Nyerere - Kwenye Tv, YouTube na magazeti.

2. A. H. Mwinyi - Kwenye TV na magazeti.

3. B. W. Mkapa - Kwenye TV, YouTube na magazeti.

4. J. M. Kikwete - Mkutano wa kampeni 2005, Tv, YouTube na magazeti.

5. J. P. Magufuli - Kwenye Tv, YouTube na magazeti.
 
Sikuwaona Marais watatu wa mwanzo Ila watatu waliofuata wakiwa kiwanja kimoja kwa pamoja.
 
Wakati nipo mtoto mdogo mwaka 1969 nilibebwa na J.K. Nyerere pale wilayani Kilosa Morogoro na kama sikosei mwaka 1975 Tulisalimiana naye kwa kupeana mkono pale Mikumi National Park akiwa anampokea rais Sianok wa Chekv. Pia nimewahi kumuona rais Alli Hassan Mwinyi akifungua kiwanda cha samaki Mwanza, marais waliofuata sijawahi kuwaona kwa live.
 
ngoja me niwaeleze kisa kimoja ila hakihusu rais ila me nilikutana na kinana alivokuwa katibu wa ccm .

basi alikuja shule kiziara kuangalia sijui ndo zile za kichama .

siku hyo haikuwa ya shule so mida ya mchana akiwa na wake green guard wawili na mkuu wa shule akaomba aangalie na kukagua nyumba za kisasa za walimu. wakati wanashuka kuangalia hizo nyumba na mimi ndo nilikuwa naenda kuchukua msosi nikiwa peke angu kwani niliwahi kisa ubao. contena lenyewe la chakula likiwa chafu hatari nmelipukuta kwa karatasi nililoliokota sijui mtu alifungia maandazi akalitupa.

ile ndo nakutana nae na nmejaza haswa coz nilijisevia hatari ugali na maharage afu sina habari .ike napishana nao kinana akasema kama anashangaa hv "kijana huo wote ni wako peke ako?" nikamjibu ndio
akaniangalia me huyo sina habari ...

hiyo ilikuwa igowole sec 2014
 
1.Mara ya kwanza namuona Nyerere ni siku alipokuja Nelson Mandela, Mara ya pili kwenye kampeni za Urais 1995 Jamhuri Stadium Morogoro
2.Ally Hassan Mwinyi nilimuona mara nyingi ila maarufu zaidi ni alipokuja Papa Yohanne Paul 1990
3.Benjamin William Mkapa mara nyingi
4.Jakaya Mrisho Kikwete mara nyingi kwenye kampeni zake
5.John Pombe Magufuli wakati wa kampeni mpaka anaapishwa
 
Hawa wote niliwaona kwenye redio ya babu Texas nchini uingreza..mwaka 2003,na Donald trump nilimsikia kwenye video.

Katika maisha yangu nilisha kutana na mchezaji wa blackburn rovers hapa hapa Tanzania ilikuwa kabla ya uchumi wa kati...katika harakati za soka..jamaa alitupa jezi na mipira alikuwa engineer wa kampuni moja ya umeme inaitwa zwart...hii ndio najivunia katika maisha yangu nilijaribu kupiga nae stori hapo lugha ilisumbua sana...hawa maraisi kama sisi😂😂
 
Back
Top Bottom