Saikolojia: Makundi manne ya watu katika mapenzi

Saikolojia: Makundi manne ya watu katika mapenzi

Nafikiri kwa kondition fulani unaweza kuhama kutoka kundi moja kwenda lingine.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa na kuubadili ubongo!
Kuhama kundi ni kazi sana tena sana maana hizo ni tabia it's like your coded!!

Mtu anaweza kubadili baadhi ya tabia kundi utahangaika sana Tena Sana.. hebu niambie mtu kama Sanguine na machepele yake atapendaje kuwa phlegmatic au melancholic..?
 
ipo siku nitawaletea elim zaid kuhusu haya mambo bad hamjayaongea kiupana

Sent using Gun Trigger
 
Kikubwa ni kwamba upendo haujawahi kuzingatia hayo makorokoro yote watu wakipendana wanaishi tu.
 
Kikubwa ni kwamba upendo haujawahi kuzingatia hayo makorokoro yote watu wakipendana wanaishi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
He he! Ati watu wakipendana wanaishi tu!
Mkuu hapo sijazungumzia watu wakipendana wasiishi tu.. ila ni Kama ushauri kwa kulandanisha hayo makundi ila la muhimu haijalishi uwe kundi lipi ila ni muhimu kumjua mwenzio ili kuepuka mambo mengine ambayo si yalazima..
Ukitaka kuyaona hayo effect zake rudi kwenye jamii utaona... Tabia zinabeba vitu vingi sana na zinaweza athiri vitu vyenu ktk maisha sio mapenzi tu hata biashara,kazi n.k

Na mwenye kuelewa na aelewe.
 
Hahahahh sawa Mkuu asante kwa ujumbe

Nahisi Wewe ni Extroverts kwa kuangalia overall performance yako humu
Je Mimi [emoji38][emoji38][emoji38]
Kuna mwengine kaandika mimi ni introvert segment ya phlegmatic!
Sitoagi majibu juu ya hilo ila naweza kukuambia mimi ni introvert hilo nishaliandika humu.. unanafasi bado ya kujifunza haya najua umeandika hivyo kwa kuangalia vurugu zangu humu!.. ila ukweli ni kuwa introvert wengi wanayo ya kutenda kama extrovert ila tofauti ni ulingo wa utendaji!! Fujo zangu si hadharani labda mpaka nikuzoee!
Usidanganyike na vurugu hizo humu sionekani ndio maana nina mbwembwe ukitaka kujua hii mutu kiazi niweke mbele ya hadhira😅
Nakuwa mpolee,natulia mtaratibu halafu maneno yanakata...

Mi nashukuru walioleta mitandao nasi tunatoa stress zetu humu..
 
Ni sawa na kuubadili ubongo!
Kuhama kundi ni kazi sana tena sana maana hizo ni tabia it's like your coded!!

Mtu anaweza kubadili baadhi ya tabia kundi utahangaika sana Tena Sana.. hebu niambie mtu kama Sanguine na machepele yake atapendaje kuwa phlegmatic au melancholic..?
Brother,Nikufahamishe to kuwa saikolojia ni taaluma pana sana sijui una level gani huenda ukawa hata mwalimu wangu Ila usijali pokea haya. Nadhan eneo unalolijadili ni personality psychology nadharia ya introvert na extrovert kama mgawanyo you.
Ila ungekuwa umenikuu angalau kwenye clinical psychology na biology(hormones ), ningeafiki kuwa mtu hawezi kuwa sometime introvert and sometime extrovert.Na behavourist bado wanaweza kukupinga. Karibu
 
Itakuwa vyema ukifafanua hapa mtu anawezaje hama kundi..?
Swali ni simple tu.
 
Ss kuna wenye tabia aina zote 4 ushauri kwao tafadhali
Akikujibu nitag, sometimes nahisi mie ni extrovert lakini sipendi interaction..muda mwingi napendelea niwe mwenyewe na siku ikatokea nikachangamana Niko very charming, namake friends easily, nina hasira za karibu. Nk
 
Itakuwa vyema ukifafanua hapa mtu anawezaje hama kundi..?
Swali ni simple tu.
[/QUOTE
Ni kwelim
Itakuwa vyema ukifafanua hapa mtu anawezaje hama kundi..?
Swali ni simple tu.
Mimi ni naomba nikuulize tu ,kaka una utaalam eneo hili vizuri. ? Kama ni mwanasaikolojia lazima uruhusu inputs katika eneo la utaalam kutoka other fields of psychology and sometimes beyond. Mimi naamini hizo ni behaviours which can be shaped kwa kutumia models,conditioning,interaction ,etc. I stand to be corrected. Otherwise u quote kwenye clinical psychology ( brain portions) ambazo mtu huzaliwa nazo kwa ajili ya kuwa introvert au extrovert ,pia hormones. au genitical.Asante
 
Swali langu ni kwamba mazingira yanaweza mbadilisha mtu aka mix Tabia za introvert na extrovert ?
Mfano mimi origin yangu ni mpole, mpenda amani mtu wa kufikiria sana ila katika utafutaji nimejikuta na adopt tabia za Sanguine nmekua mropokaji nisiye na aibu ata kidogo wakati mwanzoni sikuwa ivyo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina amini Mapenz yana tabia nying zaid Ya uliyoyaandika...

Ni mapana zaidi.

Kuhusu Imani, mm kwangu Mapenz ni tabia zinazoendana na Nyota ya mtu.
(Mizani, Mapacha nk).

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna watu ni ambivert wana tabia za makundi mawili ila lipo moja linakuwa juu ya lengine.. Hilo ni la kawaida tu hasa kwetu sisi wanaume kwenye zile kazi ngumu hutulazimu tuwe wakali hata kama si mkali ila still kuna kuwa na utofauti ukali wa asili na ule wa mazingira unakuwa kidogo tofauti...
 
Akikujibu nitag, sometimes nahisi mie ni extrovert lakini sipendi interaction..muda mwingi napendelea niwe mwenyewe na siku ikatokea nikachangamana Niko very charming, namake friends easily, nina hasira za karibu. Nk
Unaweza kuwa ni ambivert yani umemix makundi mawili!..
Kujisoma tabia kuna hitaji umakini sometimes ili ujijue si kazi nyepesi kwa wengi labda ukute kabisa wengine wanakuwa pure Sanguine au choleric ama phlegmatic.. unakuta tabia za kutoka kundi lengine ni chache hivyo hata kujisoma inakuwa rahisi..

Naweza kukupa jibu kama ukijiachia huru kujielezea historia yako,mambo unayopenda na usiyopenda.. ukiwa ktk mazingira fulani una kuwa vipi n.k n.k
Ila ningependa iwe piemu kwa maana ya kulinda private yako!😎
 
Nina amini Mapenz yana tabia nying zaid Ya uliyoyaandika...

Ni mapana zaidi.

Kuhusu Imani, mm kwangu Mapenz ni tabia zinazoendana na Nyota ya mtu.
(Mizani, Mapacha nk).

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama ulikuwa hujanielewa lengo la Uzi ni kuangalia personality zetu na mapenzi.. tabia zetu na mapenzi.. tabia zetu(ktk makundi ya kisaikolojia) yanaathiri vipi mapenzi/mahusiano yetu

Ni kweli nimeandika machache.
 
Back
Top Bottom