Recent content by Travisy

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa safari yangu ya South Africa

    Mbona umekuwa mkali ivo safari yake imekukera eeeh???,,, maisha ni kupambana popote pale hasa kwa ss wanaume, yeye sio kwanza ktk scenario kama hiyo
  2. T

    JamiiForums Tanzania Melania Trump anapwaya kuwa First Lady US?

    Liberal mpo hadi bongo,,,,left-wing
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye namba ya dalali wa nyumba Kimara

    Naitaji chumba kimoja kimara suka na choo ndani na tiles
  4. T

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa katika usahili

    Asante mkuu akutangulie kwa kunidhihaki mungu akuongoze
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa katika usahili

    Habari wana jamii forum Natanguliza shukrani za dhati mbele yenu, ningependa kupata msaada kidogo juu ya hilli Nimetumiwa meseji kwa njia ya email inayohusu kwenda kufanya ushahili kwa nafasi niliyo omba ambayo ni FIELD EDUCATOR SUPERVISOR Kampuni inaitwa DKT INTERNATIONAL LTD under Willow...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mahindi

    Kukodi shamba bei gani kwa heka moja
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mahindi

    Kukodi shamba meru beu gani
  8. T

    JamiiForums Tanzania HUITAJI WA NYUMBA YA KUPANGA

    Naitaji nyumba ya kupanga yenye sifa zifuatazo Location== Kimara/mbezi ya tegeta Chumba ni kimoja kiwe na Choo ndani Maji ya kutosha Kiwe kikubwa Gypsum but not necessary Tiles Kisiwe mbali saana na main road Usalama wa kutosha kisiwe na mauza uza(NB)
  9. T

    JamiiForums Tanzania Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

    Tablet ya asus ft300gt bei gan
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu anayeuza smartphone

    Huawei y 500 150,000
  11. T

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Natafuta chumba kimoja na choo ndani kiwe kimara suka its urgently
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Nitakupa taarifa sahihi zote ukiwa tayari juu ya iyo biashara
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Nafanya biashara ya mchele kutoa mbeya kuleta dar kama upo tayar kuinvest while ukiwa unaendelea na kazi yako unakaribishwa
  14. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kuandika Business Proposal

    Or u can call me 0654 55 25 95
  15. T

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kuandika Business Proposal

    Naitaji namba ya mtaalamu wa kuandika business proposal plan, its urgently
Back
Top Bottom