Melania Trump anapwaya kuwa First Lady US?

Melania Trump anapwaya kuwa First Lady US?

Melanie ana nyota kali sana
Hiyo njota inamsaidia nini kutimiza majukumu yake kama first lady? She might have been lucky in modeling industry but not in social and political arena. Mambo yanaonekana tu mama anapwaya.

Mwenzake Michelle alikuwa brilliant haswaa
 
Unataka umpangie jinsi ya kulea mtoto? Borron is 10 years na alishasema hawezi muhamisha shule atabaki nae baada ya kumaliza watahamia wote Washington. Anyway ivi Michele kafanya nn pale Washington ambacho ni remarkable ? Zaidi ya kuuza sura tu
Mkuu unauliza kipi remarkable Michelle amefanya?

You must be joking. Michelle is the epitome of the first lady excellence.

Mkuu umewahi sikia Initiative ya Let Girl Learn? Maelfu ya wasichana wamesaidia kuendelea na shule duniani kote. Kuacha hilo Michele Obama was very vocal about reality of "being black". Kifupi amekuwa un-appologetically black. Ukumbuke kipindi cha Obama as POTUS kulikuwa na campaign kushusha image ya blacks in US. Yeye Michelle alionyesha kwa mifano you can be black and successful bila ku-compromise na lolote lile.

Mwisho, Michelle alikuwa funny and loving.

Michelle sio wa sport Sport mkuu.....graduate from Harvard University
 
Mkuu Lizarazu, kumbuka kipindi chakuwa FLOTUS ni only four years sasa kama ameshindwa kujifunza tamaduni ya Kiamerika kwa miaka ya awali ataweza kwa hiki kipindi kifupi? Well, let me not be judgemental she might turn out the best FLOTUS. Labda atapata darasa zuri toka kwa Ivanka na atabadilika.
Mkuu ngoja tusubiri hatujui huko mbele itakuwaje, lakin kwa hizo sababu mbili nilizosema zinaweza kumfanya akaandika historia ya kipekee ya kuwa FLOTUS mbovu kuliko wote.

Nakumbuka Laura Bush ndani ya siku 100 za kwanza baada ya tu mmewe kuapishwa alianziasha project ya "redy to read" kwa ajiri ya kuimprove literacy level in america na pia vile vile iliakuwa ni advocator wa women health education hili kupambana na magonjwa kama breast cancer. Alafu wakati tukio 9/11 baada ya mme wake kuwa frustrated yeye ndio alikuwa mstari wa mbele kuzi comfort familia zilizo athirika na tukio lile.

Michelle baada ya kuingia white house alianzisha campaign maalumu ya kupambana na obesity kwa watoto wadogo, alitoa ushauri juu ya lishe bora ambayo akina mama wanatakiwa wawape watoto wao. Japo kwa baadae alikuja kupingwa na wengi kwamba hawezi akawapangia watu wawalishe nini watoto wao, lakin kama first lady alitimiza wajibu wake.

Sasa tukija kwa huyu Melani mpaka sasa hivi bado sijaskia ni kipi alichokiandaa kwa ajiri ya kunufaisha jamii ya marekani, na hii liko wazi ni kwa sababu hakujiandaa kuwa kwenye nafasi ile huyu hana tofauti na mama Janet magufuli ambae nae hakujiandaa na ndio maana hata watanzania wengi hawamjui.
 
Kudos mkuu

Nakubaliana na wewe muda utakuwa mwamuzi mzuri. Let wait and see.

Inaonyesha Melania ametishwa na maoni makali anayopata toka kwa critics wake. Anapaswa afanye jambo la sivyo ataendelea kuonekana first lady mbovu.
 
Nahijati kusikia maoni yenu kuhusu Melania Trump as first lady of United States

Mkuu BAK na kui
 
  • Thanks
Reactions: kui
Huyu mama inaonyesha viatu vya u-first lady vinampwaya. Niliona Trump akimtetea alipoulizwa na wanahabari kuhusu mipango aliyonayo mkewe kama first lady wa US. Trump anadai watu wanavyomwongelea Melania ni unfair. Zaidi ya hapo ananasema Ivanka (bintiye) atakuwa akimsaidia kwenye mambo ya wanawake na mengine yanayomuhusu first lady.

Toka Trump ameingia ikulu bintiye Ivanka ndiye anaonekana zaidi akivaa viatu vya u-first lady. Melania yeye yupo busy New York hataki kabisa kuwa on the spotlight. Labda lugha na utashi wa mambo ya kijamii na kisiasa ndiyo unamsumbua? Au historia yake ya nyuma ya modelling na picha nyingi za half naked zinampa uzito kuwa mbele ya macho ya Waamerika? Ukumbuke huyu mama amekuwa akitolewa maoni makali kuhusu hizo picha sasa anaona hatari? Kwa utawala uliopita wa Obama.....first lady Michelle Obama alikuwa brilliant. Kila mmoja aliona jinsi Michelle alivyosaidia kusukuma agenda za wanawake na watoto.

Melania yeye mara moja tu alikuwa na Sara Netanyahu akamtembeza National Museum of Afrikan History and Culture. Baada ya hapo hashughuliki na lolote. Je Melania atakuwa worst first lady kuwahi kutokea katika historia ya United States? Waamerika wategemee nini kwa huyu mama? Au Ivanka ndiyo ataonwa kama first lady? Hii imekaaje?
Rais wa marekani waliopita wako 44 jaribu kutupatia dondoo za kila first lady tulinganishe na Melanie
 
Rais wa marekani waliopita wako 44 jaribu kutupatia dondoo za kila first lady tulinganishe na Melanie
Hiyo kazi nzito kuandika yote hayo ndugu. Labda dondoo za first lady kuanzia utawala wa Bush, Obama na sasa Trump.

Msome mkuu Lizarazu hapo juu ameelezea kwa ufupi kuhusu mke wa Bush na aliyoyafanya. Pia soma hapo juu nimeeleza kuhusu first lady Michelle.

Hawa watatu inafaa kuwapambanisha.
 
Liberal mpo hadi bongo,,,,left-wing
Unataka kusema nini? Mlengo wa kiliberali upo kote duniani. Hakuna kinachozidi uhuru.....uhuru wakujiamulia mambo na kuheshimu haki za wengine.
 
Jesca wetu nadhani angeweza kuvaa viatu vya Melania wetu... maana naona kama Melania wetu hana mpango wa kuvaa viatu vya Michelle wetu... tatizo Trump wetu, atakubali???
Hahahaaa nimependa mlinganisho wako. Tatizo ya Trump wetu anaushamba mwingi. Melania wetu kawa kimya.....labda amepigwa marufuku. Si unajua kiranja mkuu anavyopenda kupiga marufuku kila kitu? Ukibisha ni jela tu.
 
Hivi yule Ivanka wetu wa Melania, yule ambaye yupo UDOM hawezi kusaidia shughuli za Melania wetu?? Au na yeye ni aliyelaza??
 
Hivi yule Ivanka wetu wa Melania, yule ambaye yupo UDOM hawezi kusaidia shughuli za Melania wetu?? Au na yeye ni aliyelaza??
Ivanka wetu yupo busy anabukua huko Udom mzee hataki hata ajadiliwe. Si unakumbuka kuna kipindi jina la Jesca lilikuwa haliandikiki hapa JF. Trump wetu anahasira kama mbogo. Melania wetu anamwogopa hatari.......imebidi anyamaze tu. Mzee amemruhusu kutabasamu tu na si vinginevyo.
 
Kwa kweli sijawahi kuisikia sauti ya Melania wetu? Sidhani kama hata anwasiliana na Michelle wetu ili ampe Juche...

Hivi zile ofisi za WAMAA Michelle hajazikabidhi kwa Melania?? Maana Trump hachelewi kuzikabidhi kwa Jeshi la Wamarekani kama alivyofanya kwa ile manowari
 
Ila Bwana Trump hakumaanisha Ivanka nae ni kilaza ila ni watoto wa wamarekani wengine in fact Ivanka nahisi yuko last year tutegemee akimaliza atamsaidia Melania pale white house Washington
Ahahah.... Nimefurahishwa sana na huu mlinganisho wenu eti trump wetu..

Ila kwa taarifa niliyoipata yule Ivanka wetu hayupo tena udom alidiscontinue.
 
Back
Top Bottom