Msaada: Mwenye namba ya dalali wa nyumba Kimara

yahoocom

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
331
379
Habarini, nnaomba mwenye namba ya simu ya dalali wa nyumba/vyumba maeneo ya kimara mwisho tusaidiane pia kama kuna maelekezo ya ziada mwenzenu nataka hamia ukooo. Natanguliza shukrani
 
Habarini, nnaomba mwenye namba ya simu ya dalali wa nyumba/vyumba maeneo ya kimara mwisho tusaidiane pia kama kuna maelekezo ya ziada mwenzenu nataka hamia ukooo. Natanguliza shukrani
VP kinondoni hupataki mkuu? Maana ninachumba pale napangisha.
 
Kimara mwisho kipo chumba na sebule bei 80 kwa mwez dakika 20 toka barabaran
 
Mimi nahitaji kimara Karibu na mwendokas Kiwe chumba sebule lakin self Sitaki choo cha kushare
 
Naitaji nyumba kimara chumba master sebule na jiko kiwe karibu na barabara , ubungo maji adi kirongwe itapendeza
 
Back
Top Bottom