Nimeitwa katika usahili

Travisy

Senior Member
Nov 6, 2015
175
60
Habari wana jamii forum

Natanguliza shukrani za dhati mbele yenu, ningependa kupata msaada kidogo juu ya hilli

Nimetumiwa meseji kwa njia ya email inayohusu kwenda kufanya ushahili kwa nafasi niliyo omba ambayo ni FIELD EDUCATOR SUPERVISOR

Kampuni inaitwa DKT INTERNATIONAL LTD under Willow program iko jijini arusha near kibo palace ingira road

Napenda kujua kama kuna mtu anaifahamu hii NGO vzr?

Salary scale zao zikoje

Na maswali yao kwa ujumla ktk ushahili yanakuwa ya namna gani

Pia ningependa kujua zaid nature za kazi za project au program zinakuaje maana humu kuna watu wana uzoefu nazo

Nisije nika risk kwa kile ambacho ninacho kwa sasa

Mawazo yako ni.mwangaza kwangu

Asante
 
Hongera sana, mm huwa najua international org nyingi huwa sio wababaishaji....kajitahidi sana. Mm siifahamu ningekujuza mambo...il a hongera kwa kupata mwaliko kamalizie upate kazi kabisa!!!!....hongera sana
 
Back
Top Bottom