Recent content by Travibela

  1. Travibela

    Ferooz: Nimejifunza

    Hahaha! Kakimbia na Silva?! Feruzi huyu huyu mzee wa Starehe?! Kweli maisha ni kurebembe!
  2. Travibela

    Ferooz: Nimejifunza

    Kaka nimejifunza mie. Ukilikalia benchi wabaya utawajua!
  3. Travibela

    How your life can begin at 55

    Hivi unaishi au unaisha? Life begins at 40, how old are you friend?
  4. Travibela

    Mtoto wa mwaka mmoja agundulika kuwa na nguvu za kiume na hamu ya ngono huko India

    Mtoto wa kiume mwenye umri wa mwaka mmoja nchini India aliyebainika kuwa na nywele kwenye sehemu zake za siri na hamu ya kufanya mapenzi amegundulika kuwa na tatizo la homoni ambalo ni nadra sana. Mtoto huyo ambaye jina lake ni Akash, alipatikana akiwa na homoni za testosterone zenye kiwango...
  5. Travibela

    ''Ipo siku utaniheshimu au utaheshimu hela zangu''

    Wazee wa kodi mpo? Haya, msemo huu pengine mshausikia mahali au sio? Au niulize tu, maneno hayo yamo kwenye wimbo gani? Kama ushaujua basi tuendelee kimya kimya tusiwape faida wasiohusika. Einsten wa Tz ambae hivi karibuni akishirikiana na swahiba wake wa longi, Mzee wa Biashara, kwenda...
  6. Travibela

    Pastor defiled 13 year old girl to 'cast out demons from her body'

    Kenya will never cease to amaze.. The East African Laughing Stock!
  7. Travibela

    Hongera JamiiForums kwa kuongelea Matatizo ya Mto Mbaka, Serikali imechukua hatua

    Nimemkumbuka Mheshimiwa Hashim Rungwe.. Hivi naye ni mkazi wa kijiji hiki?
  8. Travibela

    Msaada: Nimeibiwa ndege yangu Airport

    Hahaha! We jamaa aisee..
  9. Travibela

    Ligi ya Madam na Mchaga..

    Wapendwa, nina minuso mingi ya kuwaalika. Mnaweza kunifuatilia hapa hapa JF kila uchwao.. Huenda mkapata nyeti nyingi zaidi, japo mwendo wangu utakuwa ni huu huu (CODE).. Sasa mnuso ujao ni tata zaidi. Lakini kwa sasa naongeza nyama kidogo kwenye ligi hii ya Madam na Mchaga... Kumbe bhana hii...
  10. Travibela

    Kwa failed system kama ya CCM ni kwamba Serikali haiendesheki na si hujuma

    Endelea kujiumiza kichwa mkuu.. Siasa wenzio wanachukulia mapesa tu.. We unalialia hapa!
  11. Travibela

    Kwa failed system kama ya CCM ni kwamba Serikali haiendesheki na si hujuma

    Huyu jamaa ana tatizo.. Nahisi ni muhanga wa siasa za ndani... Sidhani kama hata anafurahia maisha.. Hivi siku akigundua kuwa viongozi waandamizi waliopo kwenye hivi vyama vya siasa ni machinery ya system kuu si atajinyonga huyu? Yaani kwa mfano akijua Mwenyekiti Mbowe ni mtu wa CCM si atazirai...
  12. Travibela

    Kwa failed system kama ya CCM ni kwamba Serikali haiendesheki na si hujuma

    Kwanini unakashifu na kutukana watu Nicholas?
  13. Travibela

    Binti kwanini unaenda kupanga kabla hujaolewa?

    Bado nini? Ngoja nije kwako mara moja.. Mlango umefunga au uwazi?
  14. Travibela

    Fuatilia Uzinduzi wa Ripoti ya Benki ya Dunia kuhusu Viashiria Vya Utoaji Huduma (Afya & Elimu)

    Tuko pamoja wakuu.. Mtudondoshee bila kupepesa macho...
Back
Top Bottom