Recent content by Torres

  1. T

    Lema: Leticia Nyerere ni mmoja wa wasaliti

    ......Acha jazba mkuu!. Kwanza rudisha hela za rambi rambi ndo watu waanze kuamini unachosema
  2. T

    Kwanini wale waliokuwa wasongo(Bright) shule mbeleni mtaani wanasota zaidi

    ........Vichwa ndo nini!!. Mtu hana kazi na life yake ipo tight kisha unamuita kichwa kwaajili ya kukariri?. Kichwa ni yule anayetumia alichofundishwa na akili zake vyema kukabiliana na changamoto za maisha.
  3. T

    Sheikh Farid: Kwanini nishitakiwe kwenye mahakama ya Tanganyika?

    Yupo!!,.........Mwigulu N. yule wa CCM.
  4. T

    Uingereza: Waziri ajiuzulu akilalamikia sera za Gaza

    ......Mkuu, kama unaona Wapalestina wana haki ya kupigania haki yao sasa kelele za nini pale Israel inapotekeleza haki yake nae ya kujilinda dhidi ya rocket za Hamas? Waacheni wenyewe Palestina na Israeli waendelee na mechi zao za kirafiki (Vita) hadi mmoja wao aombe pooh! Sidhani kama kuna...
  5. T

    Mbona nimezomewa niliponunua gazeti la uhuru!

    .........Acha kukurupuka we ndondocha, soma vizuri alichoandika kisha ndo ucomment. Muangalie kwanza, Pua kubwa kama donge la sabuni.
  6. T

    Sitta ajibu mapigo, kikundi kinachojiita UKAWA chabanwa

    ....Kaka, m.p.umbavu huwa hajirekebishi hata akiujua ukweli, ni heri angekuwa mjinga angejirekebisha. Ni bor uendelee kumpuuzia.
  7. T

    Kama sie wenyewe wakristo tunabaguana, kwa wengine hali itakuwaje?

    ......Usitumie nguvu nyingi sana kijana najijua kuwa ni kafir na najis kutokana na imani yako. Makafir tupo wengi hapa Tz vile vile utambue kuwa MUM imejengwa kutokana na kodi zetu sisi Makafir ambao ni najis, kwa mantiki hiyo chuo chenyewe tayari ni najis na cha kikafir. Kama mna uwezo jengeni...
  8. T

    Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    .....Wee bibi kizee hivi upoje siku hizi au ndo unapoteza kumbu kumbu?. Mada inaongelea jambo jingine kuhusu Sitta, wee unaongelea suala la kutaka katiba nje ya bunge. Acha kubwabwaja ovyo.
  9. T

    Kama sie wenyewe wakristo tunabaguana, kwa wengine hali itakuwaje?

    ....Hao wanaowalalamikia hawana hoja za msingi. Kwa kile chuo (MUM) hata nikiwa na sifa wanazohitaji siwezi kwenda kupoteza muda wangu kufanya hata kazi ya kufagia walipe 1m kwa mwezi.
  10. T

    Kazi kweli ipo huko Palestina

    ........Haijalishi watapitia katika ugumu kiasi gani wakati wa maambano, mwisho wa siku taifa la Mungu (Israel) lazima lishinde vita dhidi ya wana wa shetani (Magaidi/Wapalestina/Hamas) ili dunia iiendelee kuwa sehemu ya amani kuishi. Naiunga mkono Israeli kwa 100% hata ikitokea Watanzania...
  11. T

    Vipi kuhusu nafasi ya kazi WWF?

    Kwani deadline ilikuwa lini?
  12. T

    A u ready?

    ..........Sifa hizo nyingi ninazo ila kuna chache ambazo sina na wanaume wachache sana wanaweza kuwa nazo hizo sifa zote. Nakushauri tufanye mpango "tungonoke" hadi upate ujauzito labda mtoto atakayezaliwa kama ni wa kiume anaweza kuwa na sifa zote hizo. Nahisi hiyo itasaidia kumpata Mwanaume wa...
  13. T

    Kama umezaliwa miaka ya 90, humjui baba na mama yako ni Penina

    Mkuu, umeambiwa kwa sasa huwezi kuzalisha tena nini? Imekuwaje kumkumbuka mtoto uliyemtosa tokea kipindi hicho
  14. T

    Lowassa ashusha neema kwa wanaotafuta ajira

    .....vyuo vikuu maarufu ndo nini? Umaarufu wao nini?. Vingine hapo ulivyoviorodhesha hata kuviita vyuo vikuu haistahili
Back
Top Bottom