Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,848
- 2,741
Mie hata kwa kufungia vitumbua sinunui.. labda ninunue niwape wachambie wale wasio na toilet paper..
utawasababishia wenzio matatizo
Mie hata kwa kufungia vitumbua sinunui.. labda ninunue niwape wachambie wale wasio na toilet paper..
Watu wao wa masoko walikuja kutaka eti tuweke tangazo letu la nane nane kwenye uhuru. Bahati yao mbaya walinikuta mimi. Niliwatoa nduki vibaya kama Heche alivyomtimua Juliana Shonza kama mbwa
.........Acha kukurupuka we ndondocha, soma vizuri alichoandika kisha ndo ucomment. Muangalie kwanza, Pua kubwa kama donge la sabuni.We chizi kweli saa kumi umenunua gazeti la uhuru umelitoa wapi au nyie bawacha wachawi mnafanya kazi usiku.
Hilo gazeti nitalinunua labda kwa kufungia vitumbua!
Mie hata kwa kufungia vitumbua sinunui.. labda ninunue niwape wachambie wale wasio na toilet paper..
...hao wananchi walikasirika kwakuwa ulinunua toilet paper,kwao ni ishara ya kuwa dharau live...
gazeti hilo litashabikiwa Nape types tu
Jana katika gazeti la Uhuru, kulikuwa na habari inyohusu kwa namana fulani familia ya karibu nami !(si siasa) Nilipewa taarifa hiyo baada ya kufika ofisini asubuhi !
Kwa mara ya kwanza baada ya miakatakribani 15 nikalazimika nilinunue!
Nikamtuma msaidizi wa ofisi !
Yule binti aliporudina kunikabidhihilo gzeti alinihoji ...kuwa mbona alipokuwa ananunua gazeti hilo watu walimzomeana kumshangaa sana ! linanini ,kwa nini halipendwi hivo....weweunalipendea nini!
....nikamwambaia hili gazetilinamilikiwa na Chama kinachokufaanya wewe uishi maisha magumu ! akaendeleakushangaa ...iweje mim inalisoma! nikamwambia kuna habari ya kifamila sina ujanja!
Sasa ninazidi kuamini maneno ya Prof.KABUDI !NAWAOGOPA SANA WATANGANYIKA!