Kama sie wenyewe wakristo tunabaguana, kwa wengine hali itakuwaje?

Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
6,606
Reaction score
9,165
Wana JF, ni hatari ikiwa tumefikia hatua ya kubaguana kidini kwa kiasi hiki. Taasisi hii inahitaji wafanyakazi, lakini sio tu wskristo, bali ni lazima wawe Waanglikana. Huku hakuna mwisho mwema.

Soma hili Tangazo la ajira mwenyewe:-

Tuesday, August 5, 2014

Haven of Peace Academy Jobs , August 2014

The mission of Haven of Peace Academy (HOPAC) is to provide an excellent, Christ-centered, international education to the children of missionaries and full-time Christian service workers in Tanzania.

HOPAC extends this opportunity to children of Tanzanians and children of expatriates as well.

HOPAC is seeking primary and secondary school teachers for the 2015/2016 school year.

The school year begins at the end of August and runs until June with classes Monday to Friday.

HOPAC follows the Cambridge curriculum and students sit IGCSE and A-level exams in grades 10, 11 and 12.

HOPAC teachers will also have the opportunity to be involved with service learning classes, after-school activities and sports.

Qualifications:
- Bachelors Degree
- Evangelical Christian
- 3+ years experience

Source: kazibongo
 
Wapi tangazo linasema lazima anayeomba awe Muangalikana?
 
Wana JF, ni hatari ikiwa tumefikia hatua ya kubaguana kidini kwa kiasi hiki. Taasisi hii inahitaji wafanyakazi, lakini sio tu wskristo, bali ni lazima wawe Waanglikana. Huku hakuna mwisho mwema.

Soma hili Tangazo la ajira mwenyewe:-

Tuesday, August 5, 2014

Haven of Peace Academy Jobs , August 2014

The mission of Haven of Peace Academy (HOPAC) is to provide an excellent, Christ-centered, international education to the children of missionaries and full-time Christian service workers in Tanzania. HOPAC extends this opportunity to children of Tanzanians and children of expatriates as well.
HOPAC is seeking primary and secondary school teachers for the 2015/2016 school year. The school year begins at the end of August and runs until June with classes Monday to Friday. HOPAC follows the Cambridge curriculum and students sit IGCSE and A-level exams in grades 10, 11 and 12. HOPAC teachers will also have the opportunity to be involved with service learning classes, after-school activities and sports.
Qualifications:
- Bachelors Degree
- Evangelical Christian
- 3+ years experience

Source: kazibongo
Mleta mada acha malalamiko yasiyokuwa ya msingi, wenye shule wanataget kutoa huduma kwa watu fulan, sasa ww unataka wasiweke masharti yanayowafeva? ningekuunga mkono kama ni taasisi ya umma lakn kwa hili wako sahihi
 
mbona kuna watu wanailalamikia MUM kwa kuwaajiri waislam
 
....Hao wanaowalalamikia hawana hoja za msingi. Kwa kile chuo (MUM) hata nikiwa na sifa wanazohitaji siwezi kwenda kupoteza muda wangu kufanya hata kazi ya kufagia walipe 1m kwa mwezi.
 
Wana JF, ni hatari ikiwa tumefikia hatua ya kubaguana kidini kwa kiasi hiki. Taasisi hii inahitaji wafanyakazi, lakini sio tu wskristo, bali ni lazima wawe Waanglikana. Huku hakuna mwisho mwema.

Soma hili Tangazo la ajira mwenyewe:-

Tuesday, August 5, 2014

Haven of Peace Academy Jobs , August 2014

The mission of Haven of Peace Academy (HOPAC) is to provide an excellent, Christ-centered, international education to the children of missionaries and full-time Christian service workers in Tanzania. HOPAC extends this opportunity to children of Tanzanians and children of expatriates as well.
HOPAC is seeking primary and secondary school teachers for the 2015/2016 school year. The school year begins at the end of August and runs until June with classes Monday to Friday. HOPAC follows the Cambridge curriculum and students sit IGCSE and A-level exams in grades 10, 11 and 12. HOPAC teachers will also have the opportunity to be involved with service learning classes, after-school activities and sports.
Qualifications:
- Bachelors Degree
- Evangelical Christian
- 3+ years experience

Source: kazibongo
Kaka Dan Zwangendaba Evangelical (according to Oxford online dictionary) means:
1. Of or according to the teaching of the gospel or the Christian religion
2. Of or denoting a tradition within Protestant Christianity emphasizing the authority of the Bible, personal conversion, and the doctrine of salvation by faith in the Atonement.
 
Last edited by a moderator:
....Hao wanaowalalamikia hawana hoja za msingi. Kwa kile chuo (MUM) hata nikiwa na sifa wanazohitaji siwezi kwenda kupoteza muda wangu kufanya hata kazi ya kufagia walipe 1m kwa mwezi.

we kafiri tu, hatutaki najis MUM, utatuchafulia.
Hauna hadhi kwasababu Hata udhu. wako haujui,
 
Dah mtoa mada n bwatukaji tu onyesha ubaguzi uko wapi hapo
 
....Hao wanaowalalamikia hawana hoja za msingi. Kwa kile chuo (MUM) hata nikiwa na sifa wanazohitaji siwezi kwenda kupoteza muda wangu kufanya hata kazi ya kufagia walipe 1m kwa mwezi.

Mzandiki
 
we kafiri tu, hatutaki najis MUM, utatuchafulia.
Hauna hadhi kwasababu Hata udhu. wako haujui,
......Usitumie nguvu nyingi sana kijana najijua kuwa ni kafir na najis kutokana na imani yako. Makafir tupo wengi hapa Tz vile vile utambue kuwa MUM imejengwa kutokana na kodi zetu sisi Makafir ambao ni najis, kwa mantiki hiyo chuo chenyewe tayari ni najis na cha kikafir.
Kama mna uwezo jengeni chuo chenu na mrudishe majengo ya serikali, tena mnatakiwa mumshukuru sana Mkapa kwa kuwasaidieni nyie Boko-haramu.

Hadhi gani unayotaka niwe nayo wakati chuo chenyewe ni kwaajili ya vilaza haina tofauti na sekondari ya Al-Halamain ya Dar ambayo inakusanya wanafunzi ambao ni failures na wasio na sifa za kujiunga na sekondari yoyote hapa Tz.
 
....Hao wanaowalalamikia hawana hoja za msingi. Kwa kile chuo (MUM) hata nikiwa na sifa wanazohitaji siwezi kwenda kupoteza muda wangu kufanya hata kazi ya kufagia walipe 1m kwa mwezi.
kwanini mkuu?
 
Wana JF, ni hatari ikiwa tumefikia hatua ya kubaguana kidini kwa kiasi hiki. Taasisi hii inahitaji wafanyakazi, lakini sio tu wskristo, bali ni lazima wawe Waanglikana. Huku hakuna mwisho mwema.

Soma hili Tangazo la ajira mwenyewe:-

Tuesday, August 5, 2014

Haven of Peace Academy Jobs , August 2014

The mission of Haven of Peace Academy (HOPAC) is to provide an excellent, Christ-centered, international education to the children of missionaries and full-time Christian service workers in Tanzania. HOPAC extends this opportunity to children of Tanzanians and children of expatriates as well.
HOPAC is seeking primary and secondary school teachers for the 2015/2016 school year. The school year begins at the end of August and runs until June with classes Monday to Friday. HOPAC follows the Cambridge curriculum and students sit IGCSE and A-level exams in grades 10, 11 and 12. HOPAC teachers will also have the opportunity to be involved with service learning classes, after-school activities and sports.
Qualifications:
- Bachelors Degree
- Evangelical Christian
- 3+ years experience

Source: kazibongo

Nina wasiwasi wewe si mkristo ni muislam ukiwa na lengo la kuuchafua ukristo..... Baya zaidi umesema evangelical maana yake ni anglikana? shame n you... Ahahahha
haya kuhusu suala la dini ktk kazi inazuiwa ktk taasisi ya au ya private ambyo haisimamiwi na din yoyote ile... Lakini huwez ukamwajri muislam aje kutoa huduma ya kikristo.. Hyo ni sawa na kumchukua simba akawalinde mbuzi... Ahahahaha
 
......Usitumie nguvu nyingi sana kijana najijua kuwa ni kafir na najis kutokana na imani yako. Makafir tupo wengi hapa Tz vile vile utambue kuwa MUM imejengwa kutokana na kodi zetu sisi Makafir ambao ni najis, kwa mantiki hiyo chuo chenyewe tayari ni najis na cha kikafir.
Kama mna uwezo jengeni chuo chenu na mrudishe majengo ya serikali, tena mnatakiwa mumshukuru sana Mkapa kwa kuwasaidieni nyie Boko-haramu.

Hadhi gani unayotaka niwe nayo wakati chuo chenyewe ni kwaajili ya vilaza haina tofauti na sekondari ya Al-Halamain ya Dar ambayo inakusanya wanafunzi ambao ni failures na wasio na sifa za kujiunga na sekondari yoyote hapa Tz.

Ahahah nilishangaa kuona wanafunzi lukuki wanaimaliza MUM.. wanamaliza na first class... Dahh majanga hadi GPA ya 5.0 inapatikana... Mmweehhhhhhh sasa mchukue huyo mwanafunz mwenye first class ni Mbumbumbu haswaaaa... Kiukweli wenzetu wamejisahau sana ktk suala la elimu.. Hawajali.. Badiliken jaman nchi iende sawa
 
Back
Top Bottom