Kazi kweli ipo huko Palestina

Kazi kweli ipo huko Palestina

Hii vita ni mbaya sana,mtu wa kwanza Mpalestine kumlaani awe Kikundi cha Hamas na ndio wataokoka otherwise watafutika,sababu huko Palestine. Magaidi wanavyotafsiriwa na Israel ni wanaume wote wenye umri wa mtu mzima.
Inasikitisha jana nimeona jamaa kawasogelea kidogo tu Israel wakachapa risasi alipofurukuta wakamalizia.ukiwauliza wana sababu. Wamedai inawezekana alibeba bomu la kujilipua.
 
Hakuna ukweli wowote kuwa wanajeshi wa Lebanon wamekwenda Gaza,nipo southern lebanon,(naqoura ) hapa ninachokiona ni kwamba LAF(LEBANIS ARMY FORCE ) Wameongeza checkpoint,kuwadhibiti hawa waparestine hapa kwenye kambi zao za wakimbizi,ili kuepusha shari ndani ya Lebanon,sio kweli askari lebanon wakwenda gaza bro,mziki wa IDF,wanaukumbuka mpaka leo imebaki story walikifyeka kijiji kimoja hapa zimebaki nguzo za umeme tu,
 
Wewe ni ngombe wa kimasai usie kuwa na akili, vita imeanzishwa na babako au? Vita wamaanzisha israel wakati wewe bado ni shahawa kwenye p.umbu ya babako...

Lugha chafu haitasaidia kuwaokoa Hamas na magaidi wengine kutoka kwenye kipigo.
Washaurini hao 'wenzenu' wa Hamas wasichokoze Israeli maana sasa wanajua nini kitakachowakuta.
Narudia tena... "Msiba wa kujitakia, hauna kilio"
 
Wewe ni ngombe wa kimasai usie kuwa na akili, vita imeanzishwa na babako au? Vita wamaanzisha israel wakati wewe bado ni shahawa kwenye p.umbu ya babako...

Angalia tofauti hapa kati ya Hamas na Israeli.

Israeli wanawalinda rais wao, ila Hamas ni waoga sana kiasi kwamba wanajificha nyuma ya wanawake na raia wao.

Agalia picha upate ujumbe....

IMG_14173913766679.jpeg
 
Unajua nini difference kati yako wewe na ngombe wa kimasai? "Kuongea" Umemzidi ngombe kuongea tu. Otherwise no difference...
 
Unajua nini difference kati yako wewe na ngombe wa kimasai? "Kuongea" Umemzidi ngombe kuongea tu. Otherwise no difference...

Umeisoma picha hiyo.??
Jamaa zako wa Hamas ni waoga sana, wanawatanguliza vitani wanawake wasio na silaha...!!!
Wenyewe wanajificha kwenye mahandaki wakisubiri kwenda kuwazika walioauwa.
Halafu wanalia-lia kwenye vyombo vya habari kuhusu 'mauaji' ya wanawake na watoto wao.

Hamas hawana tofauti sana na Osama bin Laden. Osama aliwapeleka wenzake kwenda kujilipua, wakati yeye amejichimbia kwenye mapango huko Afghanistan. Osama alikua mwoga kama jamaa wa Hamas...!!

6a00d8341c60bf53ef010536d83c7a97.jpg
 
Unajua nini difference kati yako wewe na ngombe wa kimasai? "Kuongea" Umemzidi ngombe kuongea tu. Otherwise no difference...

Waangalie tena jamaa zako wanapojificha.
Jamaa zako waoga sana..
Wanajificha nyuma ya watoto wadogo..!!
tumblr_n8wbi9XkMW1s4lolfo1_500.jpg
 
Unajua nini difference kati yako wewe na ngombe wa kimasai? "Kuongea" Umemzidi ngombe kuongea tu. Otherwise no difference...

Sasa angalia wanaume wa kazi wanavyosonga mbele..!!

"...Am Yizrael Chai..."
facebook_1377281371.jpg
 
Nisaidie kujua wewe unayejua ni source gani inayokupa habari out of these media unazoziponda ili nami nijue ukweli ulio nao wewe au mwenzangu unaishi gaza stripe, au una nduguyo pale Tel Aviv ndiyo maana una taarifa sahihi naomba mwongozo

Jiongeze mwenyewe nani kama umeamua kujua kinachoendelea usitegemee cnn na bbc na hii issue haiitaji ushabiki wa simba na yanga leo hii ukikuta watu wanapigana na mmoja kaminywa chini anapigwa ukiulizwa upo upande gani kama ni binadamu automatic utakuwa upande wa yule anaepigwa!
 
........Haijalishi watapitia katika ugumu kiasi gani wakati wa maambano, mwisho wa siku taifa la Mungu (Israel) lazima lishinde vita dhidi ya wana wa shetani (Magaidi/Wapalestina/Hamas) ili dunia iiendelee kuwa sehemu ya amani kuishi.

Naiunga mkono Israeli kwa 100% hata ikitokea Watanzania woooote wawe upande wa Magaidi/Hamas/Palestina, bado nitabakia kuwaunga mkono wana wa Mungu (Israeli).

God bless Israel!!
 
Brave Palestinian in Ghaza have stopped the Israel army on its tracks. IDF myth have been shattered despite all odds ; blockades etc. when it came to man to man fights Israel is scared and lost 13 soldiers in single day. they just attack civilians indiscriminately.
 
Jiongeze mwenyewe nani kama umeamua kujua kinachoendelea usitegemee cnn na bbc na hii issue haiitaji ushabiki wa simba na yanga leo hii ukikuta watu wanapigana na mmoja kaminywa chini anapigwa ukiulizwa upo upande gani kama ni binadamu automatic utakuwa upande wa yule anaepigwa!

Siwezi kuwa upande wa anyepigwa, kwa mfano kama ni jambazi kaua halafu kakamatwa na apata kibano kamwe sitamtetea sana nitammalizia kwa sababu mpaka anakamatwa atakuwa ameleta madhara makubwa kwenye jamii. Ukiona mtu anapigwa pata kweli kwanza kwa nini anapigwa na anayempiga siyo kichaa ukiupata ukweli ndipo utoe utetezi. BBC na CNN na Elja-zira ndiyo vyombo vya habari duniani kwa nhiyo kupata taarifa sahihi inabidi uwe kwenye tukio tofauti na hivyo tuanze kudanganyana tu.
 
Israel wanafanya kazi nzuri sana...pasua pasua mambuzi hayo ...tawanya kabisa
 
Hehehe kuna miafrika mijinga, unajua ule ujinga wakristo wanaolishwa wa Taifa teule la Israel ndio wanajua kuwa ndio hawa, wangejua a majority ya hao Jews sio wakristo sijui wangesemaje.
The Jews in Israel dont believe in your Jesus you African ------, kwaio mnavowaita Taifa teule wao wenyewe wanawashangaa nyie. Maana mnaofikiri kawa teua wao hawamtambui.
 
Waangalie tena jamaa zako wanapojificha.
Jamaa zako waoga sana..
Wanajificha nyuma ya watoto wadogo..!!
tumblr_n8wbi9XkMW1s4lolfo1_500.jpg

Ideally, watu wengi hawakujua kwanini Hitler aliwachoma moto wale Mapanya wayahudi. Yanayotokea ndo sababu yenyewe.
 
Back
Top Bottom