Lowassa ashusha neema kwa wanaotafuta ajira

Lowassa ashusha neema kwa wanaotafuta ajira

du hii sasa imemaliza kila kitu..jana jioni nilipata bahati ya kukutana na think tank ya lowassa ambao ni wahadhiri wa vyuo vikuu maarufu hapa tanzania, kama udsm, mzumbe, ifm, sua, cbe na tumaini.

Kikubwa kilichonifanya kuona hii kambi ni noma na hatari, ni sera mbali mbali zilizo kwenye maandalizi na jana walikuwa wanaangalia tatizo la ajira kwa ujumla.

Katika hilo lowassa aliahidi kuwa, akiingia magogoni kila mwezi atakuwa anatoa allowance (kaela kadogo), kwa vijana ambao hawana kazi, na kwa awamu ya kwanza ataanza na waliomaliza vyuo ili waweze kupata ela japo ya kutoa photocopy na chakula ili waweze kuwa na nguvu za kufanya application na ili wawe fiti kufanya kazi katika viwanda vitakavyooanzishwa.

Kisha ataangalia utaratibu gani wa kutoa kwa wengine pia alizidi kusisitiza kuwa gesi ikitumika vizuri hakuna kisichowezekana katika hili na hiyo gesi ni neema kubwa sana kama itatumika vizuri.

Moja wa wajumbe katika kutetea hoja hii ya lowassa, alitoa mfano wa libya enzi za gadafi, ambapo wanafunzi waliokuwa wanamaliza vyuo walikuwa wanapata allowance za kusogeza maisha yao huku wakisubiri kupata kazi za kudumu na sio miujiza ni mafuta tu ndio iliweza kufanya haya yote, hivyo basi ni wazi katika mpango huu vijana mumeombwa kuendeleza mjadala na kuchangia mjadala na kuona ni namna gani uweze kuboreshwa kwa faida ya taifa.

Nb: Kwa hakika mimi kama kijana nasema asilimia 100% nimepokea hizi jitiada za lowassa kwa furaha zaidi na zaidi, kwani kama kijana hili tatizo limekuwa ni janga na bomu sio tu litakalolipuka bali ambalo limeshalipuka (rejea interview ya uhamiaji, watu 16000 kwa nafasi 70).

Ebu fikiria kijana katoka familia maskini, kamaliza chuo, ajira ni isuues, hana mahali pa kuishi hapa mjini, na kama ana mahali pa kuishi chakula ni tatizo, na kama hivyo vyote vipo basi ela ya photocopy ni issues.

Basi tunakushukuru lowassa kwa kuona hili, sisi kama vijana hatuna la kukulipa zaidi ya kusema tuko na wewe katika harakati zako, umeonyesha wewe ni kiongozi wa namna gani, unauwezo wa kuthubutu, katika hili umethubutu kueleza vission yako yenye uamuzi mgumu sana sana, baba tuko na wewe pamoja daima, na kamwe hatutakutupa mpaka mwisho.




lowassa ni jambazi.

Kaa nae mbali sana
 
nafkiri hapa hujaelewa hoja mkuu....hawa vijana watakuwa wanapewa allowance katika kipindi kigumu cha kutafuta ajira, which means hili swala ni katika kipindi cha mpito... At the same time uchumi utakuwa unazidi kukuwa kwa kasi, tena ukuwaji utakuwa ni wa kugusa wananchi wa hali ya chini (economic growth will definitely reduce poverty), sio hali ya sasa ambapo economic growth ipo ila bado kuna idadi kubwa ya walalahoi.....ndio mana agenda zake kuu ni kwenye viwanda vikubwa na vidogo vidogo, elimu na kilimo.

arudishe pesa za richmond na dowans kwanza
 
Kama wewe ni kijana, mtoto wa maskini, na huna kazi na huna mtu wa kukubeba ili upate ajira I am sure lazima utaunga mkono hili swala....ila naona kuna baadhi ya watu wana comment kwa kejeli hii inaonyesha kuwa wana ajira tayari hivyo hawajui uchungu na usumbufu wa kupata ajira kwa sasa....ngoja niwafumbue macho kidogo msijifanye kuwa hamuoni tatizo la ajira na jinsi wanaohitumi wanavyopata tabu kupata ajira hasa ukiwa huna mkubwa serikalini na mbaya zaidi hata kwenye ma NGO limeingia hili swala la kubebena.

-TRA waliitaji nafasi 4 wakaita watu 558

-Uhamiaji nafasi 70 waliitwa watu 16,057

-ustawi wa jamii (sekretariate ya ajira) nafasi 74 waliita watu 23,27

-ppf waliitaji nafasi 18 (jumla) waliita watu 896

-Pspf waliitaji watu 21 waliita watu 618

-NHIF nafasi 6 waliitwa watu 3964

Naomba kuishia hapo, nafkiri vijana watakuwa wanakumbuka hizo interview kwa machungu na hata wengine kulia, hii ni kwa sababu walikosa kazi sio kwamba hawana uwezo ila ni kwa sababu hawana ndugu zao katika hizo taasisi, vile vile wengine hawakuweza kutuma maombi, hivyo basi tunapopata mtu wa kubeba agenda yetu vijana bila shaka hatuwezi kumuacha kamwe......katika kudeal na hili swala ni kujenga na kuimarisha viwanda vikubwa na vidogo pamoja na extensive investment katika kilimo..
 
ajabu, na hiyo gesi itatumikaje vizuri wakati mikataba imeshasainiwa!
rais anayejitambua ana uwezo wa kupitia mikataba yote na kuirekebsha ata ile ya riz ya chna so lowasa ni kiongoz ambaye naamin akishasema anatekeleza si mtu wa longolongo ata wauza sembe wanamhofia akshaingia watakiona cha mtema kuni subr tym will tell lowasa ataingia ikulu kwa gharama zozote
 
.....vyuo vikuu maarufu ndo nini? Umaarufu wao nini?. Vingine hapo ulivyoviorodhesha hata kuviita vyuo vikuu haistahili
 
Mafisadi wanamuogopa lowasa cz wanamchafuaga wanajua akshka nchi atawanyoosha mpaka warudshe pesa za ghadafi na mafuta wanayouza na kula pesa za ewura na iptl
 
Wanamwogopa kwa sababu amewazidi kwa ufisadi
Mafisadi Kama wewe na kna makonda mnamuogopa lowasa cz mnamchafuaga na mnajua akshka nchi atawanyoosha mpaka mrudshe pesa za ghadafi na mafuta wanayouza na kula pesa za ewura na iptl...pia atakomesha biashara yenu ya sembe
 
Kumkabidhi nchi hii fisadi ni sawa na kuiuza nchi yetu.Ajibu tuhuma zinazomkabili na tujilizishe usafi kupitia utetezi wake bila kuwa na shaka.Pili atuambie hao marafiki zake wanaomchangia kila siku pesa anazogawa makanisani wananufaika na nini na kwa kutoa pesa hizo, Tatu pasipo shaka atueleze kwa nini alikuwa amwagi pesa toka zamani na kwa nini iwe sasa.Kuuza nchi yetu kwa mlanguzi haitowezekana kamwe.
 
Kufuatia minong’ono ya Hapa na Pale kwamba ndugu EDWARD LOWASSA kuwa amedhamiria kwenda IKULU hata kwa KUKIPASUA CHAMA chake,
Kwa Mtazamo wangu na wa watu walio wengi, Hizi Hapa CHANGAMOTO KUU zinazomkabili LOWASSA kutimiza ndoto yake hiyo.



1. UFISADI

Popote linapotajwa jina la EDWARD LOWASSA, Idea ya kwanza inayokuja kichwani kwa msikilizaji ni UFISADI ULIOTUKUKA, kwamba kila Watanzania wanapoikumbuka RICHMOND, wanamkumbuka LOWASSA, kwamba kila leo LOWASSA analipwa na Serikali MABILIONI YA PESA kupitia UFISADI WA RICHMOND.
Ni vigumu sana kumtenganisha LOWASSA na RICHMOND, LOWASSA ni RICHMOND na RICHMOND ndo LOWASSA, hili halikwepeki, na Watanzania sio wepesi wa Kusahau kiasi hicho,
Upo UFISADI mwingi uliofanywa na LOWASSA, katika wizara zote alizowahi kuzitumikia na nafasi zote alizowahi kuongoza, kwa sasa itoshe tu kusema LOWASSA ni KIELELEZO KIKUU CHA UFISADI WA TAIFA HILI.



2. UTAJIRI MKUBWA
Yawezekana ni Kutokana na UFISADI wake anaoufanya, lakini ukweli ni Kwamba LOWASSA ni tajiri ambaye hata hawezi kusema mali zak amezipataje pataje, pamoja na kumiliki mali nyingi hapa Tanzania, nyingi kati ya hizo akitumia majina ya watoto zake na Maswahiba zake, lakini LOWASSA ni Miongoni mwa Watanzania wanaomiliki Mali nje ya Nchi,
Unaweza Ukajiuliza Mtumishi huyu wa Serikali wa miaka mingi aliwezaje Kumiliki NYUMBA TATU za kifahari NCHINI UINGEREZA?, NYUMBA ZA MABILLIONI YA SHILINGI, alitoa wapi utajiri huo?.
Gazti la RAIA MWEMA NOV.2010 lilitoa MOJA KATI YA PICHA YA MAJUMBA YA LOWASSA NCHINI UINGERZA.
Leo anazunguka kugawa pesa hizi chafu makanisani na misikitini, UTAJIRI HUU UNA MASHAKA MAKUBWA.

3. AFYA MGOGORO.
Kama kuna jambo linawatesa wapambe wa LOWASSA ni kudorora kwa AFYA yake kila kukicha,
Sio siri tena kwamba LOWASSA ni mgonjwa,
Pamoja na jitihada zinazofanywa na wapamb wake, kumpeleka UJERUMANI kila MWEZI kupata matibabu, Kumpatia WAGANGA wa KIENYEJI, kumpeleka mpaka kwa NABII JOSHUA ili aombewe, lakini Hali ya AFYA ya LOWASSA inazidi kuwa MBOVU kila kukicha.
Sasa hivi hawezi hata kushika kikombe kwa dakika 5 mfululizo, amedhoofika mno

Juzi alikwenda KARAGWE kumtembelea BALOZI RUHINDA ambaye amepata STROKE upande mmoja wa mwili wake,
Cha kushangaza BALOZI RUHINDA ameonekana yupo STRONG MARA DUFU kulinganisha na aliyekuja kumuona, Lowassa ameshindwa hata kutembea na mgonjwa, matokeo yak akaanguka zaidi ya mara tatu kwenye ngazi.
Jioni yake akashindwa hata kwenda kwenye Warsha aliyoandasliwa. Hii ni Hatari

Hata wapambe wake alioongozana nao ambao ni NAZIR KARAMAGI na MUSHI ambaye ni katibu wa CCM MKOA KAGERA walionyesha kufedheheka kwa namna hali ilivyokuwa.

Sasa hivi LOWASSA ameonekana kupoteza matumaini ya kugombea tena URAIS, wapambe wake hawana matumaini na Afya yake nay eye mwenyewe hana tena matumaini.

Kwa Afya ya LOWASSA hakuna muujiza utakaomuwezesha kumudu na kuhimili heka heka za kampeni za kufanya mikutano zaidi ya 10 kwa siku.

4. KUKATALIWA NA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE

Kila mmoja anaijua nafasi ya mwalimu nyerere kwenye maisha ya siasa za Tanzania.
Mwalimu Tangu zamani alionyesha kutokumkubali kabisa LOWASSA, na kwamba UTAJIRI WAKE, UBINAFSI WAKE, UFISADI wake na dhuruma zake nyingi alizozifanya zilimpelekea mwalimu kuwa hataki hata kumsikia akishika nafasi kubwa za uongozi kwenye Taifa letu.

LOWASSA, ndio mgombea pekee anayepigiwa UPATU na viongozi na wanachama wa CHADEMA na vyama vingine vya UPINZANI, sababu kuu ya kumpigia UPATU huo ni kwamba, wanaamini kuwa LOWASSA ndio mgombea pekee ambaye ni Dhaifu na mwenye Kashfa na UBADHILIFU mkubwa kwa Taifa hili hivyo kuwarahishia njia ya kumuangusha na wao kushinda dola. Ndio maana huwezi kusikia popote Dkt.Slaa ama MBOWE akimsema vibaya LOWASSA.
 
Du hii sasa imemaliza kila kitu..Jana jioni nilipata bahati ya kukutana na think tank ya Lowassa ambao ni wahadhiri wa vyuo vikuu maarufu hapa Tanzania, kama UDSM, Mzumbe, IFM, SUA, CBE na Tumaini.

Kikubwa kilichonifanya kuona hii kambi ni noma na hatari, ni sera mbali mbali zilizo kwenye maandalizi na jana walikuwa wanaangalia tatizo la ajira kwa ujumla.

Katika hilo Lowassa aliahidi kuwa, akiingia magogoni kila mwezi atakuwa anatoa allowance (kaela kadogo), kwa vijana ambao hawana kazi, na kwa awamu ya kwanza ataanza na waliomaliza vyuo ili waweze kupata ela japo ya kutoa photocopy na chakula ili waweze kuwa na nguvu za kufanya application na ili wawe fiti kufanya kazi katika viwanda vitakavyooanzishwa.

Kisha ataangalia utaratibu gani wa kutoa kwa wengine pia alizidi kusisitiza kuwa gesi ikitumika vizuri hakuna kisichowezekana katika hili na hiyo gesi ni neema kubwa sana kama itatumika vizuri.

Moja wa wajumbe katika kutetea hoja hii ya Lowassa, alitoa mfano wa libya enzi za Gadafi, ambapo wanafunzi waliokuwa wanamaliza vyuo walikuwa wanapata allowance za kusogeza maisha yao huku wakisubiri kupata kazi za kudumu na sio miujiza ni mafuta tu ndio iliweza kufanya haya yote, hivyo basi ni wazi katika mpango huu vijana mumeombwa kuendeleza mjadala na kuchangia mjadala na kuona ni namna gani uweze kuboreshwa kwa faida ya Taifa.

NB: Kwa hakika mimi kama kijana nasema asilimia 100% nimepokea hizi jitiada za Lowassa kwa furaha zaidi na zaidi, kwani kama kijana hili tatizo limekuwa ni janga na bomu sio tu litakalolipuka bali ambalo limeshalipuka (rejea interview ya Uhamiaji, watu 16000 kwa nafasi 70).

Ebu fikiria kijana katoka familia maskini, kamaliza chuo, ajira ni isuues, hana mahali pa kuishi hapa mjini, na kama ana mahali pa kuishi chakula ni tatizo, na kama hivyo vyote vipo basi ela ya photocopy ni issues.

Basi tunakushukuru Lowassa kwa kuona hili, sisi kama vijana hatuna la kukulipa zaidi ya kusema tuko na wewe katika harakati zako, umeonyesha wewe ni kiongozi wa namna gani, unauwezo wa kuthubutu, katika hili umethubutu kueleza vission yako yenye uamuzi mgumu sana sana, Baba tuko na wewe pamoja daima, na kamwe hatutakutupa mpaka mwisho.



lowasa ni mcheza dili tu
 
Ajabu, na hiyo gesi itatumikaje vizuri wakati mikataba imeshasainiwa!

Achana na hao akina "Lowassamaniac"...wakishasikia jina Lowassa basi na akili zao huamini kuwa mijeledi mingi yaweza kuamsha ngamia aliyekufa!
 
2Q==
 
this is madness.

Lowasa huyu huyu anaefikiri suluhisho la ajira kwa vijana ni bodaboda?
Kwake yeye vijana ni wa jinsia moja tu na wote hawana ujuzi.

Huyu si amepigwa marufuku kupiga kampeni baada ya yeye kuanza kuzunguka nchi nzima kwa kampeni zake za kugawa bodaboda kwa vijana kama suluhisho la ajira?

Huyu lowasa akili zake kama mwenzie january makamba.

lowasa ni lazma aingie ikulu huwezi kumfananisha lowasa na joka la mdimu mwzi wa pesa za ghadafi anayeshaur
iwa na makonda mhuni na wauza sembe
 
Hakuna Waziri Mkuu muongo na mbabaishaji aliyewahi kutokea Tanzania kama Lowassa.

Alipoingia madarakani alianzisha mpango wake wa kutatua matatizo ya ardhi, akatupeleka mbio kupeleka documents zetu mwisho wa siku, hakuna kilichotendeka.

Huyo ana uchu wa madaraka na hafai kabisa.
 
Back
Top Bottom