Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Loh....kizazi cha nyoka hiki umpate wapi
Kizazi chetu sisi hiki, Tupo! Huyo ni wangu, mumwache tafadhali!
Loh....kizazi cha nyoka hiki umpate wapi
Kaka haya mambo yalikuwa kipindi cha analogia, sio kwa sasa kwenye digitali.....
shauri yako.................stuka sasa
Loh....kizazi cha nyoka hiki umpate wapi
Kizazi chetu sisi hiki, Tupo! Huyo ni wangu, mumwache tafadhali!
mbona mie nipo bhanaa!!
Realy? Bahati mbaya nmekuchelewa tu lol
lol, bahati mbaya ushatwaliwa tayari...!!
Sijatwaliwa mimi nimetwaliwa na nani?
mmmmh, na yule unamkana live in public??
Sasa hapo ugumu wke uko wapi ktk swala zima la kuyatekeleza hayo?