Bila shaka Filikunjombe ni mbunge makini na wa kuigwa na magamba maana itakuwaje mtu utoe mapungufu na mwisho wa siku upitishe kwa kukubali kwa 100% ? huu ni unafiki kama c ujuha au aina yoyote ya umbumbumbu wa fikra. tunategemea mb AMBAYE atakosoa bajeti bac asiunge mkono hoja na kama...
kweli nimeamini kuna vilaza wengi waliosoma UDSM maana hata huhitaji notes za prof kuzisoma kujua maana ya web ranking. ivi ukiambiwa chuo bora mfano kikawa kweli UDSM ww individual inakusaidia nn? maana kubishana na wanafunzi wa mwaka wa kwanza ni kazi sana. yaan huku mtaani hakuna...
sema ww ni kilaza wa kufikiria maana siamini kama kuna either Prof or Dr amabye ukiwa umeargue right akakufelisha sema UDSM mnavilaza wengi wa kujisifia et vyuo vingine ww hivi kuna vyuo ambao wanatoa max bila msulu wa maana? hebu fikiria ww unadivision gani maana udsm ya sasa inachukua hadi dv...
kimsingi ww ndo ubadili dini maana unaonesha unataka kuongeza idadi ya waislam tunawajua ndo mpango wenu kama kwel ww ndo ubadili dini na hii tabia mmeianzisha nyie maana huwa mabinti zenu mnalazimisha na wanaume wabadili dini ili waweze kuowana sasa kama umependa kubali kusuka vinginevyo...
hapo sasa imekuwa poa nakupongeza sana ww uliaweka jamvini ishu kama hii maana mm nilisha wahi ibiwa kama hivi iv na wanaojiita HQRV (HIGH QUALITY RESEARCH VISION walinitoka na wekundu sasa hebu watight ili waache ucharwa na wafanye kazi na si kutumia short cut
wvt mpo kindugu na kichuo sana yaani kuna mwaka mlisha wahi weka chuo X kisiombe nafai fulani ya kazi so hebu badilikine angalieni uwezo wa mtu binafsi, vinginevyo hamtoaminika kama magamba, maana mnasikitisha ila nafahamu malengo yenu ni mazuri kwa jamii yetu ya Tanzania. that all
ki ukweli hakipo maana hadi division four pale SUA wanawachukua sembuse div 3 even udsm wapo sema wengi wanashindwa kukubaliana na matokeo zaidi ya kuponda
kwel hilo si la kwanza mm ningeshauri wenye kuwapa nafasi au post katka job website wajilizishe km kweli mtu huyo anazo nafasi za kazi kama kuonesha ofisi, ID, na kama kasajiliwa na wakala wa usajiri, it is pain.
ww unayejiita mangosutu unaoneka lembukeni na hujui chochote utabaki kuisema UDOM nA Utasota kitaa hadi wachoke wanao kupa nauli na pesa ya kutolea kopi, ivi mpaka sasa hujui kazi kupata it doesn't matter what you know but whom you know? hapo chuo kama kina matter uliza wenzio wamesoma UDSM nA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.