Utapeli kupitia centre for environment protection.

Utapeli kupitia centre for environment protection.

Mambo guyz me ndo rachel ambaye hiyo issue inanihusu,isee nimeshanggaa sana ,simfahamu huyo mtu,na nashangaa kwa nini kaamua kutumia jina langu,hiyo namba sio yangu, me namba yangu imeeishia 66 ni tigo 12, jaman msinisome vibaya,me kwanza nipo iringa nafanya kazi restless development.jina halisi ni rachel kabwelile,hilo mwakapalila ni jina lingine la mzee wangu,so nikaamua kutumia facebuk kwa ajili ya usalama kwenye masuala ya kazi,nimefahamu iyo ishu sasa hivi. I beg guyz sio rachel mimi huyu mtu kaamua tu kunichafua,me sio tapaeli wala sijawahi kufanya utapeli.

Sawa tumekuelewa,lakini jua kuwa mpaka sasa hivi hili suala limeshafika Takukuru,TCRA na kwenye vyombo vya usalama,kwahiyo ushirikiano wako utahitajika ili kuweza kujua ukweli,kwani hata hao Centre for enviroment protection wamehaidi kutoa ushirikiano.Pia wote waliotumiwa hiyo Sms wasiifute na waiwasilishe Takukuru ofisi za wilaya au mkoa ili zije zitumike kama ushahidi.
 
This is nice and funny. Its like watching your kids play hide and seek.
 
Ebwana Rechael we ni noma ngoja kwanza utupunguze umburula wa watanzania umezidi hapa unaongea na tanzania one mburula man, we need to learn how to think critically ata mimi nimeisha tapeliwa hii ya leo nimeponea chupachupu! poleeni wote ambao mumepoteza wekundu wenu!
 
jaajabu huyu mburula mwenzangu mwenye hii namba ya wekundu unaita inaita ila hapokei!
 
Join Date 4th January 2013
Posts: 1
Likes Received: 0
Likes Guven: 0

Mwanzo ulikuwemo humu au kuna mtu kakuambia kua una skendo ndio maana ukaamua kujiunga jamii forums? Na pia mbona akaunti yako ya facebook umeiblock? Kweli dunia imeharibika sana...

hapo sasa imekuwa poa nakupongeza sana ww uliaweka jamvini ishu kama hii maana mm nilisha wahi ibiwa kama hivi iv na wanaojiita HQRV (HIGH QUALITY RESEARCH VISION walinitoka na wekundu sasa hebu watight ili waache ucharwa na wafanye kazi na si kutumia short cut
 
Huyu dada Niko kama namuona anavyotoa macho na kijasho.PROJECT IMEVIMBA,polisi wacheze nae
 
huyu dada niko kama namuona anavyotoa macho na kijasho.project imevimba,polisi wacheze nae

ushahidi upo tigo, takukuru waende wakachukue info za profile lake na tigo watawapa hapa watakuta hzo sms na watu wote aliowatumia na pia wote waliomtumia hyo msimazi. Maelezo yaliyotolewa na wanajamii ni nyenzo ya kuanzia uchunguzi.
 
Jamani nimepata sms hiyo hasubuhi ya leo.Hivi sasa inakuaje inawezekana hiyo kazi kaitangaza Rachel mwenyewe sababu kapataje cv zetu????mi nlimrushia 10 ikagoma nkampigia hakupokea...
 
jamani wanajamii wengangu hata mimi huyo rachel kanitumia huo utapeli wake hapa kesho naelekea takukuru cz nimeshafikisha suala hili polisi. tuwasiliane kwa namba hii 0653217558 hili tuungane kupinga rushwa na utapeli huu cz watoto wa maskini ndo tunaoumia jamani huyu wa pili sasa mimi ananiomba pesa nimechoka. huyu rachel lazima awe mfano kwa matapeli wenzake.
 
Huyu mtu ni tapeli na leo kamtumia mtu same message akidai 40,000, namba ya huyo Rachael Mwakapalila ni 0713749735. Atachukuliwa hatua tu, huezi kua chuma ulete.
 
mimi shaidi mkuuu, nishatumiwa io sms ktk simu yangu, ninaweza kuku4adia ipo ktk cm yangu.na uyo dada aitwa rachel mwa.....
 
Intelijensia imemuumbua..tuache kuendekeza njaa jamani.

..acha kumshambulia dada wa watu,at least amekuja na kuweka mambo sawa,hata wewe unaweza kuibiwa identity yako wakaitumia kwa issue ambazo hujui na kumbuka wezi au matapeli hawatumii majina yao kamili.
 
Binafsi simjui huyo Rachel Kabwe Mwakapalila physically zaidi ya kuambiwa tu na wadogo zangu wamesoma nae UDOM.
Imewahi kunitokea kuna kazi ya mtu nilipewa kumfanyia, cha ajabu katika Docs nilizokua nafanyia kazi nikawa nakutana na jina la baba mdogo(mume wa mama mdogo kabisa) tena majina yote matatu.
Nikadhani ni shughuli za bamdogo anamficha mkewe.
Kumbe ni matapeli wanatumia lile jina na kuna mizigo mingi waliipitisha na mimi ndio ningekua mhanga kama lingefumuka mapema tena hata bamdogo asingenielewa. Walinipa kazi bila kujua namfahamu huyo mtu.
Umbea wa kutaka kuyajua kwa mamdogo ndio mchezo ukajulikana kumbe ni matapeli hapa mjini na wanapiga hela kwa majina ya watu.
Yawezekana huyo dada hausiki kabisaaa
 
Ha ha haka ni kademu flani kamemaliza Udom,nafikiri kwao Mbeya na kanaishi Mbeya!dah maisha magumu mpaka Recho umekuwa tapeli?

Matapeli wanatumia hadi jina la Rais, itakua la Rachel asiejulikana??
 
Back
Top Bottom