Job application hii imenichanganya sana naomba msaada

Sasa ndugu yangu kama unashindwa kuelewa jinsi ya kuwawekea hizo taarifa muhimu, hiyo interview yenyewe utaiweza kweli au unawawekea kauzibe wengine? Kwa sababu vitu vyote vilivyopo hapo ni vya kawaida tu, au umekuwa wa kuunga kama Mulugo?
 
product za UDOM utazijui tu,nafikiri sasa mtaanza kuelewa kwa nini tunakiita chuo cha kata
mmmhhh mbona maneno makali hivyo???? Chuo nini katika ajira, kunatuliomaliza UDSM college ngumu na tuna mi upper second with hons class GPA tupo kitaa na hatunakazi. Cha maana kama hauna cha kushauri kaa kimya.
 
ww unayejiita mangosutu unaoneka lembukeni na hujui chochote utabaki kuisema UDOM nA Utasota kitaa hadi wachoke wanao kupa nauli na pesa ya kutolea kopi, ivi mpaka sasa hujui kazi kupata it doesn't matter what you know but whom you know? hapo chuo kama kina matter uliza wenzio wamesoma UDSM nA Wapo kitaa. tumia akili na sio nywele unapo comment
 
jamaa ameomba msaada hajasema anatokea udsm au udom au mzu! Tena nijuavyo mm niliyemaliza udsm mwaka huu, aisee kile chuo kimeoza tu kwa sasa labda wakoment waliosoma zamani lakini sio tuliomaliza mwaka huu na bad nipo kitaa na statistics yangu wakat masela kibao wa kozi kama yangu waliomaliza udom na mzu wanakula mishahara tu????
 
Kuna watu wenye busara wamejibu walichoulizwa na kutoa msaada ila kuna watu kazi yao ni kubeza tu. Jamani mambo ya kazi hayajalishi chuo wala uzoefu. Ndio maana unaweza ukawa na uzoefu hata wa miaka zaidi ya mitano ukaulizwa swali la kitoto kwenye usaili kushindwa. Vinginevyo watu tusingekuwa tunashindwa usaili baada ya kuwa short listed tena nafasi nyingine unakuta umeitwa wewe peke yako nafasi ipo bado unashindwa!

Tusaidiane jamani, ndio undugu. Asanteni kwa waliojibu na kila la kheri kwa muuliza swali.
 
Kuuliza si ujinga jamani,hata wakubwa huuliza

Anafikiri kuandika CV unapurukupa tuu na degree yako, Wapo waliosomea kuandikaa CV wala sio jambo la kuandika tu kama unamwandikia mpenzi wako barua, kuna structure, language gani itumike(ya kumbeleleza na ya kiofisi), pia mambo gani yaanishwe kwenye cv kwa wakati gani kivipi, si chezo mambo ya application inahitaji mda uandike vizuri
 
jamaa ameomba msaada hajasema anatokea udsm au udom au mzu! Tena nijuavyo mm niliyemaliza udsm mwaka huu, aisee kile chuo kimeoza tu kwa sasa labda wakoment waliosoma zamani lakini sio tuliomaliza mwaka huu na bad nipo kitaa na statistics yangu wakat masela kibao wa kozi kama yangu waliomaliza udom na mzu wanakula mishahara tu????

mkuu mmeoza kivipi? Unadhani hao unaodhan wamepata kazi na wamesoma UDOM ni u-UDOM wao ndiyo umewapa kazi?
Nazidi kuamini umeoza na utasota sana mtaani kwa na akili yako ilivyo.
 
Kama ndo hivyo hata hiyo kazi hutaiweza.
za wapi hizo kuuuliza na kazi vimeingilinaje. Kaza buti jembe langu asikutishe mtu huku maofisini kwanza wako vilaza kibao, sio ujanja sana kupata kazi kuna vitu vingi, na bahati zimo, apply kila post unayofiti kuna moja inaweza kuwa bahati yako.
 
Sasa ndugu yangu kama unashindwa kuelewa jinsi ya kuwawekea hizo taarifa muhimu, hiyo interview yenyewe utaiweza kweli au unawawekea kauzibe wengine? Kwa sababu vitu vyote vilivyopo hapo ni vya kawaida tu, au umekuwa wa kuunga kama Mulugo?

Toa ushauri sio kukatisha tamaa watu tumemaliza vyuo kama hivyo lakini tumekula ajira za maana. Shule ni tofauti na kazi. Kuna watu wana PASS tu lakini ukimuita katika interview utakoma kulinga, na utajilaumu kwa nn ulimuita, lazima umuajiri.
 
Daaaaaah,kuna watu unaona kabisa WanaStress zao za maisha!,kama Huyo MANGOSUTU,anafikra Mgando sana!,inaelekea ana Tatizo na UDOM sijui wamemfanya nini!,na ukiendelea ivyo utabaki kulalamika kila siku kwa kujifanya unajua kumbe hamna unachojua...Hao wanaoGraduate kutoka UDOM ndo hao hao wanakugaragaza kwenye intaview...JIPANGE!
 
product za UDOM utazijui tu,nafikiri sasa mtaanza kuelewa kwa nini tunakiita chuo cha kata

Kuuliza si ujinga! Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu! Mwenye hekima hadharau mtu bali huchagua fungu jema la kukaa kimya!
 
Acheni ubwege msela kauliza kama huna jibu kaa kimya.mnajifanya wajuaji wakat hata hizo kazi na nyinyi pia hamna.ujuaji mwingi kudadeki wakat kila siku mnagongea hata hela ya daladala.mibichwa mikubwa kuwaza hamuwaz.

Msela ndiyo nani? Nyie teenagers mnashusha sana hadhi ya JF
 
Nipo napambana na utafutaji wa kazi si unajua tena maisha kila siku ni mchakamchaka. Nimekutana na kazi kwenye gazeti na naona inanifaa sana. Mode of application ya kazi imekaa kama ifuatavo
To apply please send

  1. Your current CV
  2. At least 3 references with current email and telephone contact
  3. Your salary history
  4. Cover letter describing your interest in this post

Maswali yangu ni namba 2 pale anaposema kuwa atleast 3 references with current email and telephone contact anamaanisha wale marefari wanaokuwa kwenye CV yangu ama anamaanisha marefari wangu watume references sehemu hiyo nayoaply kazi?
Na hiyo namba 3 inayohusu salary history inamaanisha niandike salary history yangu kwenye application letter ama niatach salary slip zangu kama mbili tatu vile. Please mwenye uelewa anisaidie maana natamani sana kuiaply hiyo kazi na sitaki kukosea kwenye hiyo applicatio yangu

Kwenye C.V weka majina ma3 ya wadhamin wako yenye namba zao za cm na email adress, pia weka historia yako ya salario kwa kila kazi uliyopitia kabla ya kuomba hii...Cover letter elezea ujuzi au elimu yako itaisaidia kampuni hiyo nini..utaleta changes gani kwenye kampuni than b4 ..half mwishon mwa cover letter andika thank you in advance then nakuhakikishia utapata kazi hiyo labda uwe na gundu..aaahh
 
Naskia tu eti mpaka leo hawajashortlist, wakishortlist nimo kusema cha ukweli maana nina imani ya kuhamisha milima
 
Naskia tu eti mpaka leo hawajashortlist, wakishortlist nimo kusema cha ukweli maana nina imani ya kuhamisha milima
Kwel m2 mzima utakuwa umepitia madrasa au sunday school...au mzee njaa tu za kutafuta kazi hadi unarejea vitabu vya Mungu..aaah jokes, kila la kheri mzee hope watakushort list and finally employed...Cheers
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom