Mwambepo one
Member
- Dec 15, 2012
- 50
- 4
Yote hayo yanasababishwa na kina PONDA! mpaka mnaonekana ni magaidi! Dah pole sana kamanda kwa kumkosa mkee tafuta ostadhati mwenzako ok! kama vp Badili dini katika kweli na roho Utaokoka!
Hayatuhusu. This is your private business.
jitu kama wewe uarabuni ushanyongwa na misifa yako ya kijinga.Hayatuhusu. This is your private business.
hivi waislamu bado hamjajua mlivyo na jina baya nchini? yaani hata wewe vitendo vya wenzio mliohadaika nao na hii imani ya waarabu huvioni tu?
Siku za nyuma waislamu kuoleana na wakristo ilikuwa ni jambo la kawaida japokuwa baadhi yao walikuwa hawakubaliani nalo moja kwa moja. Ila kwa sasa imekuwa ngumu zaidi na hatari hasa kwa mkristo kwenda kwa mwislamu (Hapa naongelea hasa wa kike) kwani katika jamii ya sasa ndugu zetu waislamu wamebadilika na kuonekana kama wanga wa mchana kwa watu ambao si wa imani yao na kuhatarisha maisha yao. Hivyo basi kwa upande mwingine naweza kusema kuwa wazazi hao wa huyo binti wanazo sababu za msingi kumkatalia binti yao.
Ni maoni yangu tu kutokana na hali halisi iliyopo.
Wakati mwingine huwa nashangaa mtu mpaka anapata degree eti bado mwislam
Una chuki plus plus.hivi waislamu bado hamjajua mlivyo na jina baya nchini? yaani hata wewe vitendo vya wenzio mliohadaika nao na hii imani ya waarabu huvioni tu?