majengo safi + wanafunzi wenye div3 + uhaba wa wakufunzi = ????????????
who z the best teacher kati ya hawa?
1.anayechukuwa mtoto wa kidato cha kwanza aliyepata wastani wa 81 (A) na kumfanya apate div 1.7
2 .anayechukua mtoto wa kidato cha kwanza aliyepata wastani wa 41 (C) na kumfanya apate div 1.7
nadhani mfano huu upeleke kwenye universities,kuna other issues mfanye mfanyavyo vitabaki kuwa UDOM tu.sidhani kama kuna university inayotoa best student katika technology kama UDOM,kama mnabisha nenda TCRA kaulize ni system ngapi wamenunua UDOM na kwa tsh ngapi kwa mwaka huu tu.umeshaskia chuo gani kimetengeneza system hizi hapa Tanzania?
1.phone calling system,mtu anapiga simu bure anywhere.unaweza kuitengenezea credit na unaweka charges.
2.house parental control system.unazima na kuwasha electronic devices katika nyumba yako kwa kutumia computer ofisini kwako au simu ya mkononi,ni kitendo cha kutuma tx "switch off TV".
3.car accident reporter system,endapo gari litapata ajali intuma taarifa makao makuu sehemu gari lilipopatia ajali,mwendo kasi uliokuwa ukitumika,hali halisi ya dereva wakati anaendesha (mlevi/sio mlevi),picha 10 za ajali,instantly
4.facial recognition software ambazo mmezoea kuziona katika movies,na zinatumika sana CIA,now iko inprogress katika hotel moja bagamoyo.ikiwa ni team ya wanachuo 20's na supervisor mmoja.
na nyingine nyingi tu!
Mwanafunzi wa UDSM bado anasoma language za zamani katika programming, kama PASCAL na C na C#,tena anasoma katika madaftari na karatasi but real world programming hajui,usimlinganishe huyo usimlinganishe na mwanafunzi wa UDOM anayesoma C++.the world now is in C++ and Java.mfano mzuri naomba uende Nyerere airport uliza wanafunzi wangapi wameajiliwa from UDOM and SUA compared to those from UDSM.next time is better muwe na current statistics ndio muanze kuongea,sio mnaongea kutumia statistics za miaka 20 iliyopita
mtu anayesoma computer science ni multipurpose,anaingia sehemu nyingi so naweza nkasema conputer science haina profession.but huwez kumlinganisha computer scientist wa UDSM na UDOM,UDOM ni chuo cha kwanza Tanzania kufundisha Software Engineering, na ni among of most paying Carrier in the world,mtu wa computer science wa UDOM anasoma na hao watu wa SE,so kunatofauti kubwa sana.UDOM ni chuo cha kwanza kuacha kutumia ARIS system na kutengeneza system yao ya SR (student record),hawakumwajili mtu kutengeneza but imetengenezwa na wanafunzi.nadhani kuna umuhimu wa kuanzishwa kwa maonyesho ya vyuo vikuu tanzania!nadhani ndio mtajua jinsi vyuo vyetu vingine tofauti na chuo kilichozoeleka UDSM vinafanya nini.pia naomba tu kila mmoja asome kwa upande wake malengo yake yakiwa kupata elimu itakayo msaidia.