Recent content by Tony Almeda

  1. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Malima kwa Obama?

    Kwani huyu dogo amesomea wapi?
  2. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania Mbowe afanya mazungumzo na maafisa wa Ikulu ya Marekani

    Wewe ndio wa kupuuzwa maana haueleweki!
  3. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania Mbatia kukutana na waandishi wa habari leo

    Hakuna swala la elimu litakalozungumzwa bungeni katika kipindi ambacho tume haijawasilisha ripoti yake, labda liwe halipo katika hadidu za rejea, na lisikaribiane kufanana na matatizo ambayo tume inayafanyia kazi.
  4. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini za kiislamu na kikristo waunda kamati ya kulinda umoja nchi

    We MSENGEREMA nini changia mada sio unaanza kutoa uharo wako! uko period nini? nyie ndio mnaotuharibia siku
  5. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Mawaziri sasa kuchekechwa na kubaki wale ambao utendaji kazi wao ni bora!

    Tena hili la foleni katikati ya jiji ni lahisi sana hata Dr Mwakyembe hatopata tabu, tutamshauri humu jamiiforum nini cha kufanya.
  6. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Marufuku DVD na Kanda nyingine za Kukashifu Dini

    Wapi KANDORO?
  7. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia uso wa Tundu Lissu namsoma namna hii...

    Siku zote alie nje ya kiwanja ndio anakosoa mchezaji, ngoja aingie yeye uwanjani utaona jinsi atakavyocheza, likipigwa raggae yeye atacheza blues. Na huyo Lissu wenu ndio itakavyokuwa, mtasema afadhali ya Mrema......!
  8. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania Kumbe kutekeleza ahadi kazi: Mjane wa Mwangosi alia na Slaa

    Kama ahadi ya mtu mmoja anashindwa kuitimiza je ya watanzania millioni arobaini ataiweza?
  9. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania Sensa: Hotuba ya Rais Kikwete, yatokanayo

    Ndo na mimi naposhangaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  10. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania Hodiiiiiiiiiiii!

    Karibu sana mama.
  11. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Naibu spika Job Ndungai ni dhaifu

    dogo kichwa....... namkubali!
  12. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania Zinduna Talk Show: Leo mjengoni nipo na Erotica~~~~!

    Nasikia kuna kaserengeti boy umekaweka kinyumba.....! Je! ni kweli?
  13. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM Jangwani: CCM yafa Rasmi

    Yaani huyu nae roho tayari ishajua haipo CCM, Wamebaki mwili tu.
  14. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM kuhusika na Kifo Cha Zao la Pamba

    Wacha dharau bw mdogo! Kama hauna kumbukumbu na wewe usikurupuke. Mwaka 2011 bodi ya pamba ilitangaza bei elekezi ni shillingi 1,400 kwa kilo moja. Na kampuni ya NIDA ilinunua mpaka kwa bei ya 1,700/= kwa kilo mwaka 2010 Hizi data zako za kwenye soko la dunia zinaanzia mwezi Nov 2011, kama...
  15. Tony Almeda

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM kuhusika na Kifo Cha Zao la Pamba

    Zao la pamba lililokuwa linategemewa sana katika mikoa ya kanda ya ziwa, liko hatarini kutolimwa kabisa kutokana na serikali kuonekana haiwathamini wakulima wa zao hilo na kuwakumbatia wanunuzi. Kikao kilichofanyika wiki hii baina ya serikali na wanunuzi hao wa pamba, kilionyesha udhaifu...
Back
Top Bottom