Recent content by tizo1

  1. T

    Nimeweza kuacha pombe. Miaka 4 sasa

    Habari wadau. Nashukuru Kwa wote mlio nijenga juu ya namna ya kuacha pombe nilipoomba USHAURI MWAKA 2022. Naelekea miaka 4 Sasa bila kunywa pombe Nilikuwa mlevi sanaaaaaaaaaaaaaaa wa pombe aina zote za dukani na kienyeji. Nimelewa Toka 2010 mpaka 2022 nimeacha. Mali zimekwisha ila Mimi nipo...
  2. T

    Majibu Yana Maana Gani haya???!

    Nimeweka attachment hapo
  3. T

    Majibu Yana Maana Gani haya???!

    Naomba kujua maana ya majibu hayo kwenye hiyo attachment.Yaani ukimwi upo au haupo??!
  4. T

    Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    Asante The Bold.Usiku huu wa SAA saba ndo napitia Simulizi hizi za kitaalamu.Usingizi kwishaaaaaa
  5. T

    Mama zenu ndo wanaowatuma

    Duh...... Kuna ukweli hapo..!
  6. T

    Jakaya Kikwete: Mandela tutakukumbuka daima

    Mzee Sijui ni wapi alikuwa anatoa hela
  7. T

    Msaada: Moto wa jikoni kwa mjamzito unaweza athiri mtoto?

    Nadhani hii ni mimba ya kwanza kwenu.Kupika na kukaa Jirani na jiko hakuna tatizo hapo.Angalia maisha ya wajawazito kule Kijijini.wengi wanafanya kazi zote mpaka wakati wa kujifungua.Wapi wanaojifungua akiwa jikoni anapika,wapo wanajifungua wakiwa shamba pia.*Zingatia Clinic*
  8. T

    Tuseme: Makonda, Haya hapa Majina ya Wauzaji Madawa ya Kulevya wakubwa

    Vita hii ni ngumu sana.Mungu AMUONGOZE
Back
Top Bottom